Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Miaka sio mingi tutaelewana tuView attachment 1675087
Hakika maneno mazuri na TUNDUIZI..

JPM ameamua kutimiza mengi tunayowakosoa viongozi wetu kwa kukosa UBUNIFU na UBADHIRIFU WA MALI ZA UMMA tokea ngazi za HALMASHAURI mpaka WIZARANI....

Kwa kujikosoa huko Serikali imeweza kukusanya FEDHA NYINGI a ndani na kuweka HISTORIA kubwa ndani ya hii miaka 5 ya utawala wa JPM....

Kwa kujikosoa huko kumemfanya JPM achaguliwe mshindi wa PILI KWA MARAIS BORA AFRIKA nyuma ya Rais wa GHANA....

HAKIKA TUNAENDELEA KUKOSOANA!
 
Umeambiwa itahudumia takribani watu milioni 18!

Kuna tofauti kati ya watu na wagonjwa bwashee!

Kwani hospital wanahudimia watu wazima? Si wanahudumia wagonjwa(Patients)? Hao watu mil 18 ambao sio wagonjwa wamewanyumbulishaje(wamewapata kwa mchanganuo upi)? Taarifa ilisema kwamba itakuwa na uwezo wa kuhudumia watu(wagonjwa) mil 18 (Mil 10 walivyotangaza kwenye TV) na wagonjwa 700 kwa siku.

Capacity ya hospital = 700 wagonjwa kwa siku.
=700 x 365 = 255500 Patients kwa Mwaka.
 
hiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.
Bugando siyo hospital ya serikali! Ni mali ya Tanzania Episcopal Conference of the Catholic Bishops. Hivyo hiyo hospiyali ya Chato, ndiyo itakuwa hospitali kubwa sana kanda ya ziwa na nchi za Rwanda na Burundi! Tushangilie
 
Mtu kwao, machumi ni asubuhi
Tumechelewa sana.....

JPM ameijenga ile hospitali ya RUFAA iliyoshindikana toka UHURU pale MARA....
JPM amejenga hospitali ya RUFAA pale Mtwara iliyoshindikana toka UHURU....

Waziri mkuu Mstaafu Mzee Cleopa Msuya alisemwa sana kupajenga MWANGA...Leo hii kila MTANZANIA anayefanya biashara ya samaki bwawa la nyumba ya MUNGU anafaidika kwa maendeleo ya UMEME yaliyopo pale kiasi kwamba SAMAKI hawaharibiki katika MAJOKOFU.....
 
hiyo mikoa yote, isipokuwa Kagera, ipo karibu na Bugando kuliko Chato. Anyways, kila la kheri.

Hakuna kinachoshindikana mkuu, kutakuwa na ka airbus kwaajili ya kuwarush wagonjwa hospital Chato.
 
Bugando siyo hospital ya serikali! Ni mali ya Tanzania Episcopal Conference of the Catholic Bishops. Hivyo hiyo hospiyali ya Chato, ndiyo itakuwa hospitali kubwa sana kanda ya ziwa na nchi za Rwanda na Burundi! Tushangilie
Imeingia ubia na serikali.
 
Back
Top Bottom