Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Serikali ni sikivu imekusikia!
 
Hii ni kwa mujibu wa wagonjwa 700 kwa siku then hapo hapo tunaambiwa wagonjwa 18m kwa mwaka
Wapi ulipoambiwa wagonjwa milioni 18?

Watu milioni 18 wa kanda ya ziwa watatumia hospitali hiyo pale " watakapougua" na siyo kwamba wataugua wote kila siku kuna wanaokaa miaka hawajagusa hospitali!

Uwe unaelewa usiwe kama Covid 19 wa Ufipa.
 
Ni Jambo jema sana, na dodoma ikipatikana ya rufaa zitasaidia kuokoa maisha bila gharama zingine za kusafirisha wagonjwa kwenda kuishi dar.
Ila ni sawa wagonjwa kusafirishwa kutoka Mwanza kwenda kuishi Chato?
 
Mpaka wapate Rais wa hukohuko.
Hivi kusini wana Hospitali kubwa ama ya Rufaa yoyote yaani Ruvuma, Lindi, Mtwara pamoja na maeneo ya nyanda za kusini. Maana sijawahi kusikia na kama haipo si ingekuwa vyema nao wakapatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…