Bishweko JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 3,406 Reaction score 2,521 Jan 16, 2021 #361 Bujibuji said: Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato Click to expand... Yaani eti watu milioni 18 kwahiyo Bugando itakua na zero kabisa.Washamba bhana
Bujibuji said: Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato Click to expand... Yaani eti watu milioni 18 kwahiyo Bugando itakua na zero kabisa.Washamba bhana
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Jan 16, 2021 #362 Mapank said: Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO? Click to expand... Ukifika Bugando unaambiwa nenda Chato na hupewi huduma! Utaenda tu! Labda mpaka awamu hii ipite!
Mapank said: Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO? Click to expand... Ukifika Bugando unaambiwa nenda Chato na hupewi huduma! Utaenda tu! Labda mpaka awamu hii ipite!