Detroit jiji la viwanda.Seattle yetu inapendeza
Utakavyojua madaktari bingwa wote wapo Chatto ndio utajua hujui.Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Baba 5 inatutosha Unataka Tufariki!!
Hapo tumepata mbadala wa kuchagua! Wenye wivu na chuki binafsi nawapa pole sana.. maana siyo kwa kasi hii I see!Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Shangaa na wewe. Yaani jamani. Hii hospitali kama ni ya kanda kweli ilitakiwa iwe Mwanza na sisi wa Somanda iwe karibu kwetu.Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Inategemea Unatolea wapi ?Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Huko Mobutu alipokea viongozi pia .Ndege zilitua moja kwa moja Gbadolite air port .Huko alijenga viwanda ,hôtel n.k.Yaani kama Meko tu.Magufuli ni reflection ya Mobutu kabisa.Hongera sana awamu ya 5 kwa kurudia historia ya GBADOLITE.
Yaani hapo chato ipo kanda yake peke yake ya GeitaImepewa hadhi ya Hospital ya Kanda, sasa Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Musoma zipo nyanda ya juu kusini????
Kwa hiyo sie Wa Tarime tukiumwa twende Chato!?
Waende muhimbili kufanya nini tena?Kuhudumia sio tatizo, jambo la msingi vifaa tiba viwepo vya kutosha pamoja na madaktari bingwa wa kutibu hao wananchi,sio wagonjwa waende hapo halafu waandikiwe waende muhimbili.
Halafu mwisho wa siku utakuta wengi wa manesi, madaktari, madaktari bingwa, wafamasia, wakuu wa vitengo nk. watakaohudumia hiyo hospitali ni kizazi kile kile kutoka kule kule Kaskazini mwa Tanzania (Kilimanjaro na Arusha)
Alileta TRA Chato wale jamaa wa Kaskazini wakajaa ofisini, Akapeleka CRDB bado wale wale, akajenga Airport bado wale wale......
Wazee wa fursa wameshatinga chato, wanakwenda na upepo unapovuma, wanavuna pesa za wajinga wajinga Chato na kupeleka Moshi kuzitumbua kila Disemba!