Hizo ni za wakatolikiZiko Peramiho mkoani Ruvuma na Ndanda mkoani Mtwara!
Mtaunga mkono juhudi, taka msitake.Jambo la msingi vifaa tiba viwepo vya kutosha, madawa, pamoja na madaktari bingwa wa kutibu hao wananchi, sio wagonjwa waende hapo halafu waandikiwe rufaa waende muhimbili, au wapangiwe tarehe nyingine ya kumuona daktari...
Kwani Mloganzila iko jirani?hiyo peramiho na ndanda zote ni hospitali za mission, zina huduma nzuri ila hazina capacity ya kuhudumia hii mikoa
kwanza kama peramiho ipo mbali hata na mji wa songea wenyewe kiasi hata ikiongezewa capacity bado italeta usumbufu kwa waty
Umeandika kama mtaalam lakin utajibiwa kisiasa.Jambo la msingi vifaa tiba viwepo vya kutosha, madawa, pamoja na madaktari bingwa wa kutibu hao wananchi, sio wagonjwa waende hapo halafu waandikiwe rufaa waende muhimbili, au wapangiwe tarehe nyingine ya kumuona daktari.....
Kwani Mloganzila iko jirani?
Umemaliza kila kitu; ukiangalia akina Kabudi ile siku anatoa speech kali sana pale Pius Msekwa hall mbele waziri mkuu Pinda kuhusu katiba mpya huku akisema waTanganyika wapewe Tanganyika yao ingali mapema kabla mambo hayajawa mabaya.Hawezi kutuambia anaumia kaburini wakati YEYE ndie alitengeneza imperial presidency and rubber stamp parliament.
Bunge butu liliasisiwa na Mwalimu. Akiamua kitu usiku asubuhi anampa Kawawa ki note apeleke kwa mguu across Lithuli Street to Karimjee offices of Sapi Mkwawa and Pius Msekwa to ram it through parliament into law.
And we have been too wimpy to change any cockamamie thing started by Mwalimu. Its all our fault.
Hahahaaaa.......!unataka kufananisha umbali wa ilipo hospitali ya mloganzila na peramiho kiumbali !!!...
By the way tufanye yaishe maana una majibu yako kichwani mkuu
Hata kama ngozi hiyo hiyo inachanika kwa "mwamba ngozi kuvutia kwake"?Sio mbaya kwani hata mwamba ngozi huvutia kwake
Hazifikii hadhi ya KCMC, Bugando na Muhimbili.Ziko Peramiho mkoani Ruvuma na Ndanda mkoani Mtwara!
Mkuu,Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18...
Na miaka yote hiyo baada ya yeye, bado tu umeganda kwenye mawazo ya kumlaumu yeye?Hawezi kutuambia anaumia kaburini wakati YEYE ndie alitengeneza imperial presidency and rubber stamp parliament.
Bunge butu liliasisiwa na Mwalimu. Akiamua kitu usiku asubuhi anampa Kawawa ki note apeleke kwa mguu across Lithuli Street to Karimjee offices of Sapi Mkwawa and Pius Msekwa to ram it through parliament into law.
And we have been too wimpy to change any cockamamie thing started by Mwalimu. Its all our fault.
Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18.
Ni Jambo jema sana, na dodoma ikipatikana ya rufaa zitasaidia kuokoa maisha bila gharama zingine za kusafirisha wagonjwa kwenda kuishi dar.
Tulia wewe, tutajenga kama hiyo KamachumuChattle kumekucha
Mkuu unajua umekosea kubadilisha avatar picha yako jamaa kama anachungulia kwa juu. Nilitaka kukupita hivihivi na nilikuwa najiuliza jumbe brown kapotea wapi? Kumbe umebadilisha avatar picha yako. Ujue madini unayotema yananoga yakiendana na avatar picha yako tuliyokuzoeaMaendeleo hayo.....
Hivi unaipanuaje nchi bila ya kufanya hayo?!!!!!
Hakika UTHUBUTU ndio unaotakikana.....
Wananchi wa CHATO nao wanastahili huduma bora ya AFYA.....
MAENDELEO HAYANA VYAMA
Mmmmmh sawa mapankTulia wewe, tutajenga kama hiyo Kamachumu