Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Jambo la msingi vifaa tiba viwepo vya kutosha, madawa, pamoja na madaktari bingwa wa kutibu hao wananchi, sio wagonjwa waende hapo halafu waandikiwe rufaa waende muhimbili, au wapangiwe tarehe nyingine ya kumuona daktari...
Mtaunga mkono juhudi, taka msitake.
 
hiyo peramiho na ndanda zote ni hospitali za mission, zina huduma nzuri ila hazina capacity ya kuhudumia hii mikoa

kwanza kama peramiho ipo mbali hata na mji wa songea wenyewe kiasi hata ikiongezewa capacity bado italeta usumbufu kwa waty
Kwani Mloganzila iko jirani?
 
Hawezi kutuambia anaumia kaburini wakati YEYE ndie alitengeneza imperial presidency and rubber stamp parliament.

Bunge butu liliasisiwa na Mwalimu. Akiamua kitu usiku asubuhi anampa Kawawa ki note apeleke kwa mguu across Lithuli Street to Karimjee offices of Sapi Mkwawa and Pius Msekwa to ram it through parliament into law.

And we have been too wimpy to change any cockamamie thing started by Mwalimu. Its all our fault.
Umemaliza kila kitu; ukiangalia akina Kabudi ile siku anatoa speech kali sana pale Pius Msekwa hall mbele waziri mkuu Pinda kuhusu katiba mpya huku akisema waTanganyika wapewe Tanganyika yao ingali mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Leo hii Kabudi anadiriki kukana maneno yake.
 
Ni Jambo jema sana, na dodoma ikipatikana ya rufaa zitasaidia kuokoa maisha bila gharama zingine za kusafirisha wagonjwa kwenda kuishi dar.
 
Ziko Peramiho mkoani Ruvuma na Ndanda mkoani Mtwara!
Hazifikii hadhi ya KCMC, Bugando na Muhimbili.

Nafikiri badala ya kujenga mpya pale Chato wangeimarisha ya Mwanza kisha wakajenga moja mpya mikoa ya kusini.
 
Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18...
Mkuu,

Ni bora hospitali hiyo ingejengwa Kwimba maana ndio katikati ya mikoa hiyo tajwa lakini kuifungua hiyo wilaya kongwe ambayo inaonekana kama iko 'land locked' pamoja na kwamba ilikuwepo hata kabla ya uhuru wa Tanganyika-sijui wabunge wa eneo hilo wanakwama wapi kulisimamia hilo.
 
Hawezi kutuambia anaumia kaburini wakati YEYE ndie alitengeneza imperial presidency and rubber stamp parliament.

Bunge butu liliasisiwa na Mwalimu. Akiamua kitu usiku asubuhi anampa Kawawa ki note apeleke kwa mguu across Lithuli Street to Karimjee offices of Sapi Mkwawa and Pius Msekwa to ram it through parliament into law.

And we have been too wimpy to change any cockamamie thing started by Mwalimu. Its all our fault.
Na miaka yote hiyo baada ya yeye, bado tu umeganda kwenye mawazo ya kumlaumu yeye?

Mbona nchi nyingine zinabadilika haraka haraka. Kuna nini kinachokosekana Tanzania kiasi kwamba tunaendelea kutegemea alichofa kiongozi aliyetoka madarakani miongo kadhaa iliyopita?

It's good you ended up pointing out where the fault lies: "It's all our fault".

So stop the blame game. That was then. This is now! Very different times and seasons.

The world has moved on, and we're still stuck in what happened during Mwalimu's reign?
 
Kwa mujibu wa wizara ya afya ni kwamba hospitali ya Rufaa ya Chato itahudumia takribani watu milioni 18.

Kama kawaida CCM Mpya kufanya propaganda kwa kutumia takwimu zisizo sahihi kuwa wapo wagonjwa milioni 18 ukanda huo wenye kuhitaji huduma kutoka hospitali hiyo.

Ingekuwa takwimu hizo ni kweli basi Tanzania ingekuwa hoi taabani kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa ktk eneo moja kupita nchi zote duniani. Na tungeona madhara yake kwa hospitali kufurika idadi ya wagonjwa hao huku wengine wakikimbilia Dodoma, Mbeya , Iringa , Kilimanjaro n.k kutafuta huduma za matibabu.



Johnthebaptist ilitakiwa habari hii isomeke Hospitali ya Rufani ya Chato kuhudumia ukanda huo wenye idadi ya wakaazi 18 milioni.
 
hata mimi ningekua raisi home kwanza!! Chato ni moja ya maeneo watu wake hawana uchumi mzuri!! sasa wamempata mtu raisi kwannin asiwaboreshee uchumi wao ili wauze maziwa kwa wingi.😀..Sio umeshika nyazifa kama hizo alafu ukiondoka unarudi nyumbani unakuta hali za watu masikini.
Hiyo ndo maana halisi ya Nyumbani kwanza.Safi magufuli
 
Maendeleo hayo.....

Hivi unaipanuaje nchi bila ya kufanya hayo?!!!!!

Hakika UTHUBUTU ndio unaotakikana.....

Wananchi wa CHATO nao wanastahili huduma bora ya AFYA.....

MAENDELEO HAYANA VYAMA
Mkuu unajua umekosea kubadilisha avatar picha yako jamaa kama anachungulia kwa juu. Nilitaka kukupita hivihivi na nilikuwa najiuliza jumbe brown kapotea wapi? Kumbe umebadilisha avatar picha yako. Ujue madini unayotema yananoga yakiendana na avatar picha yako tuliyokuzoea
 
Back
Top Bottom