Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hakika.....Inakuja hiyo lazima tulete wanafunzi chato pachangamshwe
🤣Njoo mama utimize ndoto yangu ya kumiliki pisi kali...nipo chato kitambo
Asitokee mwingine akaiga haya. Huo ndio utakuwa mwanzo wa mfarakano wa nchi yetu. Hiyo itakuwa Tanzania "Mpya", kama walivyoipachika jina sasa.
DuhInawaka waka mama ai mamaa
Asitokee mwingine akaiga haya. Huo ndio utakuwa mwanzo wa mfarakano wa nchi yetu. Hiyo itakuwa Tanzania "Mpya", kama walivyoipachika jina sasa.
It's good you ended up pointing out where the fault lies: "It's all our fault".
Wewe uliupoandika huko mwanzo kumlaumu Nyerere na mwisho kukiri kuwa ni makosa yetu ulikuwa na nini kichwani?Kwa hiyo ulikuwa unajitutumua kujiandikia aimlessly, manake umeona na umekiri kwamba nimesema kosa ni letu wote kwa kushindwa kufumua mifumo iliyoasisiwa na Mwalimu
Chanzo cha tatizo ni Nyerere.Wewe uliupoandika huko mwanzo kumlaumu Nyerere na mwisho kukiri kuwa ni makosa yetu ulikuwa na nini kichwani?
Nimejibu sehemu zote mbili kama ulivyoziwasilisha wewe mwenyewe.
Mbona unawasemea na wengine. Jisemee mwenyewe juu ya hayo yote unayoyataka wewe.Hakuna mfarakano wowote.....
Tatizo ni mazoea YALIYOTUCHELEWESHA kufika.....
Status Quo huweza kufanywa ni uzalendo kumbe UPOYOYO TU.....
Magufuli atakumbukwa sana hasa baada ya kuondoka madarakani na kuja waitwao "wazalendo" watakaosimamia yaitwayo "maendeleo ya watu tu" pasina VITU.......
Mwenyezi Mungu atuweke hai na afya tele aaaamin!!
Hivi ile hospitali kubwa ya rufaa aliyoijenga JPM hujaiona ee?!!!Nani wa kuifufua Mtwara? Sijui nimewaza nini tu! Enwei kuchele.
Kumbe unapenda majadiliano na wenye mawazo kama yako.....basi vizuri mkuu wangu!!Mbona unawasemea na wengine. Jisemee mwenyewe juu ya hayo yote unayoyataka wewe.
BTW; nimesoma michango yako mingi hapa. Kawaida yangu ni kutokuwa na muda wa majibishano na wenye mawazo kama hayo. Maana yake, usitegemee kuendeleza mjadala nami.
Hivi ile hospitali kubwa ya rufaa aliyoijenga JPM hujaiona ee?!!!
Na iwe tu.....Chato ni kwa kwenda kuwekeza wandugu. Hospitali kubwa kama hiyo haiwezi kosa chuo kikuu cha Afya. Kiutani utani Chato inakuwa jiji kubwa.
Nyerere alipoanza tatizo aliweka amri "sisi sote" tushindwe "kufumua misingi potofu ya 'imperial presidency and rubber stamp legioslature'"?Chanzo cha tatizo ni Nyerere.
Muendelezo wa tatizo ni sisi sote kushindwa kufumua misingi potofu ya imperial presidency and rubber stamp legislature.
Mbona wewe umelinganisha?Usilinganishe ardhi na mbingu