goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
Ukiwa unatokea wapi?Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa unatokea wapi?Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Shangaa hata wewe.Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?
Bugando ni Private Chato ni Government.......kwa unafuu wa Bei naenda chato!Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Niende CHATO nimerogwa [emoji23][emoji23]Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Tutawapiga fine wote mtakao kwenda Bugando..Chattle haiwezi kuhujumiwa huku tukionaNiache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?????
Imepewa hadhi ya Hospital ya Kanda, sasa Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Musoma zipo nyanda ya juu kusini????Sio wote wanatokea hapo ulipo wewe!
Kwa nini marais waliopita hawakufanya mambo makubwa kama anayofanya Jpm?Maendeleo hayo.....
Hivi unaipanuaje nchi bila ya kufanya hayo?
Waliyafanya.Kwa nini marais waliopita hawakufanya mambo makubwa kama anayofanya Jpm?