Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hawakuwa maraisi wa miundombinu tu, bali walikuwa maraisi wa sekta zote.Kwa nini marais waliopita hawakufanya mambo makubwa kama anayofanya Jpm?
Pamoja na mapungufu yao, waliangalia sekta zingine na sio kuelekeza hela karibu zote kwenye miundombinu/ujenzi na ndio maana waliweza pia kuajiri, kuongeza mishahara, kusomesha wanafunzi wa vyuo vikuu kwa mapato yatokanayo na makato ya asilimia 8 tu na zingine kutoka serikalini, n.k.