Picha: Huku ng'o kule ng'o ndio hii sasa

Alooooooooo.
IVi hiyo kitaalamu ndo tunasema kuyatimba au kuyakanyaga
 
Unaweza kucheka ila hii kama mwanaume ishatutokea sana huku una familia mwenye nyumba anataka chake plus madeni madogo madogo ila yanapita na yanaisha hadi ukikumbuka unacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…