shosti nimeona pale kwa sintah nimecheka hadi kulia
Namkubali ray c ni figheter atarudi kama mwanzo
Binamu leo yaliyonukuta sina hamu
Igweeeeeee!!! Chinekee ohhhhh!!!!
Nilipewa zawadi galaxy note 3, si unajua kazi yangu ya udaku?
Umbea unalipaaa
Tabia mbaya kila mtu anayo hapa dunianii, basi binam ipake rangi ya maziwa kidogoi, Heaven Sent sijui yupo wapii
Umeona sehemu ipii ile ya kupakua msosi kama unaenda vitani? Au???
hapo hapo nikaanza kucheka hadi mwanangu akaniuliza