Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Yaan nna roho mbaya mpaka sijipendi mwenyewe ushaona hiyooo, we si upo busy,mi nipo busy lakini nachungulia humu tu sie wengine umbea ni Oksijeni tusipoupata twafaaa
Msalimie ICHANA na Vaislay siku hiz hawa sijui wametekwaaa

Kweli mwenzangu, kwetu sie umbea ni oksjeni, tukikosa tu walahi hakuna uhai
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde nilitaka kukutumia umbea PM,si nikajisahau nkawa nataka niumwage humu nikajua nachat na wewe PM, ahaha yani ingekuwa shidaaa bahat nzur nimeuwahi aiseeh, dah nimecheka sana, halafu sisi tuna dhambi sana kumamae, mpaka najiogopa
 
Last edited by a moderator:
Naona makubwa ya maadui ndani ya nyumba, mama yangu!!.. humu leo lazima afe mtu kubabeeeeeeki

Hahahaaaa....Binamu mwambie Dinazarde aache tabia mbaya...

Sie wengine umbea hobby....yani hapa roho imeniuma hadi nimeshushia panadol....tutauana jamaniii....
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde nilitaka kukutumia umbea PM,si nikajisahau nkawa nataka niumwage humu nikajua nachat na wewe PM, ahaha yani ingekuwa shidaaa bahat nzur nimeuwahi aiseeh, dah nimecheka sana, halafu sisi tuna dhambi sana kumamae, mpaka najiogopa

Nitumie basii kabla sijalazwaa mieee fanya harakaa atiii
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu mnachanganya bila kujuwa, pale Posta ukianzia YMCA, YWCA na sehemu zingine za wazi kwa ajili ya chakula hakuna menu inayozidi buku 5 na tunakula na MaCEO mulemule kwenye msosi wa bei chee na wenye zile biashara wanapiga pesa ndefu kuliko unavyofikiri.

Pili mtu kama Ray C kama chakula chake kitamu ni lazima atakuwa anapewa tender kwenye sherehe mbalimbali utakuja kushangaa JK anampa mpaka tenda ya kulisha ikulu kwenye dhifa za kitaifa, unadhani baada ya mwaka mmoja ukisikia anajenga hotel utashangaa? Na usisahau ana silaha ya asili pia K yake kulinda maslahi yake.

Upo sawa mkuu.
 
Mmh!! Hongera zake kajitahidi, ila mmh kwa kweli hapana unafki mbaya, huu ndo mgahawa kweli wa kumiliki staa kama yeye? Na hao akina mama mwantumu uko tandale wamiliki nini? Tatizo hawa mastaa wanajisahau mno na huo uwe mfano kwa mastaa wote, mwenzie jide yupo mbali ye anahangaika na migahawa ya walevi.
Warumi nahisi huu si mgahawa wake bali wa taasisi ya rayc,nadhani wabia ni ex teja wenzake!lakini unafikirisha huo ,ina maana si itabidi apoteze muda fulani hapo kusimamia,"rayc niongeze mchuzi bhana""ugali bondo hili" chai imepoa bhana!sina hela leo nitalipa kesho!
 
Aiseeee raha ya huku mlipuane baada ya hapo kila mtu atajua limits zake.......

Ukicheka cheka na watu watajifanya kukujua undani wakati hawana lolote.......... wengine watakuchekeq kumbe ndio namba one kukusema ovyoooo....
 
nipe samare ya uzi kwanza maana kuna kilaza mtu mzima jana alinichefua hatari

Ungelamba ndim ni kiboko ya kichefuchefu...LOL

Btw stop this bullshit au hukusoma ushauri wa dada ako kule.... she said it very loud and clear
 
Ungelamba ndim ni kiboko ya kichefuchefu...LOL

Btw stop this bullshit au hukusoma ushauri wa dada ako kule.... she said it very loud and clear

hahaha nishaaachana nae nimemweka kwa dustbin back to the topic mhagawa wa ray c ingawa hauna hadhi ya kistaa ila amejitahidi kiasi kutoka kuwa teja hadi hapo alipofikia anastahili pongezi atleast ameonyesha mabadiliko
 
Aiseeee raha ya huku mlipuane baada ya hapo kila mtu atajua limits zake.......

Ukicheka cheka na watu watajifanya kukujua undani wakati hawana lolote.......... wengine watakuchekeq kumbe ndio namba one kukusema ovyoooo....

meona eeeh
afu mbona picha ya bey siioni siku hizi lol
 
hahaha nishaaachana nae nimemweka kwa dustbin back to the topic mhagawa wa ray c ingawa hauna hadhi ya kistaa ila amejitahidi kiasi kutoka kuwa teja hadi hapo alipofikia anastahili pongezi atleast ameonyesha mabadiliko

Jirani kapotea mtaani kumbe ana business kafungua.....nikajua visafari vya Zanzibar vya mkeep busy kumbe mambo ya restaurant
 
Back
Top Bottom