Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Una roho mbaya siku hiziiii.....

Yaan nna roho mbaya mpaka sijipendi mwenyewe ushaona hiyooo, we si upo busy,mi nipo busy lakini nachungulia humu tu sie wengine umbea ni Oksijeni tusipoupata twafaaa
Msalimie ICHANA na Vaislay siku hiz hawa sijui wametekwaaa
 
Last edited by a moderator:
....mie niko nyuma yenu....kama kusutwa tusutwe wote

Wataanzia wapi sasa kutusuta? Watu wenyew umewaona walivyopinda?? Mdomo tunao na nguvu tunazo *****, ukizingua unakula makonde
 
Yaan nna roho mbaya mpaka sijipendi mwenyewe ushaona hiyooo, we si upo busy,mi nipo busy lakini nachungulia humu tu sie wengine umbea ni Oksijeni tusipoupata twafaaa
Msalimie ICHANA na Vaislay siku hiz hawa sijui wametekwaaa

Uwe hata unaniiita mwenzio.....ule mtanange wa jana umenipita roho imeniuma ujueee?

Mwambie Mrembo by Nature nimempa Shikamoo ......!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom