Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Ahahaa hahaha maninaaa jana ilikuwa shidaaa full mvutano, nyie lucy sio mtu mzuri kabisa

Mi wiki ijayo binamu nahamia uko, maana uku nako nshapewa notis nihame,umbea huu jamani, bora nikakae mtaa wa wambea wenzangu, tukeshe mpaka hasubuhi, weraaaaaaa

Hhhhhaaaa nilijuaaaa sasa binam lazima utahamiaaa,hamiako tu huko halaf lusungo simuonii siku hiziii ukinionea muite nna salam zake toka kimbijii
 
Last edited by a moderator:

Karibu saaaaaana.
Ila kigoma cha Uruguay naona kama kitatuhusu.
Mjini cha bure salamu tu, karibu mwaya
 
Ulitekwa na boko haramu nini sikuonii aisee

Dah mama kuna project zilinificha hapa kati sina hamu that's y nilikua naingia kwa kubip sana
But honestly speaking I missed u guys n u know t
The best thing is the genius gwiji is back
 
Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie

yani Jana ilikuwa nyoko watu wqlivuta cha Jamaica manake cha arusha hakikutosha kuleta stimu. We nae uwe unaibia ibia unaingia wakati danga likienda msalani
 
Last edited by a moderator:
yani Jana ilikuwa nyoko watu wqlivuta cha Jamaica manake cha arusha hakikutosha kuleta stimu. We nae uwe unaibia ibia unaingia wakati danga likienda msalani

Yaani nimesomaaaaaa weeeeeeee.....ile nataka ku-reply sioni kitu....basi nimeshinda asubuhi nzima sina raha...umbea umenikamata, donge limekaa rohoni.
Hapa no shobo, wakileta shobo, wataambulia shombo
 
Hongera sana Ray C. Mnambeza mgahawa wa kwenu uko wapi? Mwanzo wa makubwa ni madogo. Kwa mafisadi wanaanzia pakuba. Mbuzi mee nyie. Hongera sana dada yetu Ray C kazi umeanza tuko nyuma yako tutakusapoti.
 
hahaahaaaa!!!huyu mrembo asilia nooma
hata udaku wake wa kimjinimjini yani anawajua wadada wa mujini kimtindo!
mi namkubali mbayaaaaaaaa!!!!

Yaan michambo yake ni ya taratibu inachomajee,kumbe mi bado kinda bana ngoja niwaachie wakubwa, mim mtoto bado unajua nimeyawah majukumu mapema tu
 
Hhhhhaaaa nilijuaaaa sasa binam lazima utahamiaaa,hamiako tu huko halaf lusungo simuonii siku hiziii ukinionea muite nna salam zake toka kimbijii

lusungo yupo busy, si unajua binamu yule habar nyingine? Akija humu itakuwa ni shidaaaa wale mburulaz wote watanywea, maana kuna siku mbwiga mmoja alipewa makavu mpka ikabidi nimuombee msamaha kwa kweli maana ilikuwq ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom