Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie

Nilikuita mwanzo kabisa uje uone vituko vya Lucy hukuja nikajua utakua na buzi, mimi sichezii na nyie aisee nimeogopa kiama ile michambo unaweza meza wembe ujue
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhaaaaaa afadhalii mieee aisee we ni kituko utatuharibia ukoo halaf nakutafutia ban mkuu yaan hata hunitukanii unaniudhii ujueee

lolowapi shikamoo, khaaa wewe binamu mwenzio apa nalia ujue??
 
Last edited by a moderator:
Ile laini ya voda ni special kwa ajili ya udaku, naona chaji iliisha, mana kutwa napokea msg kwa watu za maumbeya ya mujini, halafu ni ubuyu wa haja

Binamu ile nyingine je ulizima makusudii
 
Nilikuita mwanzo kabisa uje uone vituko vya Lucy hukuja nikajua utakua na buzi, mimi sichezii na nyie aisee nimeogopa kiama ile michambo unaweza meza wembe ujue

Ulivyomuita Madame B akawa kimya nkajua binamu kashatugaya siku izi
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kaja PM anaomba kujiunga na kundi la langu, anasema amenipenda bure, nikamuuliza kundi lipi? Naona ajajibu, sis ni zaidi ya alqaeda , ukituzingua lazima ufanyiew three some maninaaa

Teh teh teh teh
 
Kamanda jana sijui ulikuwa unapiga umbea wapi, Dinazarde aliku tag ukawa kimya, tatizo na wewe unazurula mno

Jana nilikuwa chimbo nimekamatia goma.
Si unajua shetani akizeeka anakuwa malaika?
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde muangalie sana Mrembo by Nature, maana anakuja vizur kweli ,yani hili ni jembe nalikubali vibaya mamaye, yani binamu famba yeyote akikuzingua niite tufe na ban wote kama nilivyojitolea kwa Dinazarde, uzur wangu mimi nikikupenda bhaas hata ban ntapata kwa ajili yako, nakukubali sana kamanda yangu.

Ni kweli tatizo umri apa jamani, yule mtu mzima unajua? Mtoto hana wala mchumba kashafel

hahaaaaaa!!!!!uko tayari kufa kwa ajili yao
 
Last edited by a moderator:
Jana nilikuwa chimbo nimekamatia goma.
Si unajua shetani akizeeka anakuwa malaika?

Bora ukufika maana jana kulikuwa na mafuriko humu, ilikuwa shidaa, lucy komba alikuwa habar ya mujini jana
 
lolowapi shikamoo, khaaa wewe binamu mwenzio apa nalia ujue??

Yaan huyu binam nishamtafutia ban mpaka naumwaaa mwenzio, ana wale vibaka wenzio walikula ban sijui washafunguliwaa,duuu lolowapi kiboko halaf mbea huyuuu
 
Last edited by a moderator:
Nilikuita mwanzo kabisa uje uone vituko vya Lucy hukuja nikajua utakua na buzi, mimi sichezii na nyie aisee nimeogopa kiama ile michambo unaweza meza wembe ujue

Yaani mtu akiingia anga hii tu....asipotoka kajinyea basi atajiharishia.
Watu wengine wameshushwa duniani kuja kutupa stress.
 
Back
Top Bottom