Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaa hahaha maninaaa jana ilikuwa shidaaa full mvutano, nyie lucy sio mtu mzuri kabisa
Mi wiki ijayo binamu nahamia uko, maana uku nako nshapewa notis nihame,umbea huu jamani, bora nikakae mtaa wa wambea wenzangu, tukeshe mpaka hasubuhi, weraaaaaaa
Ahahaa hahaha maninaaa jana ilikuwa shidaaa full mvutano, nyie lucy sio mtu mzuri kabisa
Mi wiki ijayo binamu nahamia uko, maana uku nako nshapewa notis nihame,umbea huu jamani, bora nikakae mtaa wa wambea wenzangu, tukeshe mpaka hasubuhi, weraaaaaaa
Ulitekwa na boko haramu nini sikuonii aisee
hahaha Dina wewe niquote tu ILA usiwe na shobomavi
Wewe, warumi na Mrembo by Nature.....sichezi na nyie.
ndio nini hamjanishtua kwa uzi ule.....nimekuja mwishoni umeshapigwa mstari Mwekundu....nini mbaya.
Sichezi na nyie.....sichezi na nyie
Binamu siku izi unatutenga sana na ww
Heheheh eti timu three some ahahaha manina
Mmmh:banghead::beer:
hahahaha kitu kinafukua hadi miamba ... Hii ni team niheshimu nikuheshimu. Ukileta shobo zinakurudia mwenyewe
Ngoja nikupe like tu naogopa kukuzoea kabisaa,ile mvua ni mpya sijawahi iona dunia nzima aisee
yani Jana ilikuwa nyoko watu wqlivuta cha Jamaica manake cha arusha hakikutosha kuleta stimu. We nae uwe unaibia ibia unaingia wakati danga likienda msalani
Ahahaa hapana chezeya team three some, lazima usombwe na mafuriko maninaaa
hahaahaaaa!!!huyu mrembo asilia nooma
hata udaku wake wa kimjinimjini yani anawajua wadada wa mujini kimtindo!
mi namkubali mbayaaaaaaaa!!!!
Kitu cha three some au four some ni shughuli mpak kitu kiote sugu hhhaaaaa
Plz nahtaj kuiona hyo mvua ilishushwa WAP
Nampenda sana huyu mwanamke mrembo by nature mweeee
Hhhhhaaaa nilijuaaaa sasa binam lazima utahamiaaa,hamiako tu huko halaf lusungo simuonii siku hiziii ukinionea muite nna salam zake toka kimbijii