Picha: Huu ni Ushahidi kwamba BAWACHA ndio Taasisi bora kabisa ya Wanawake Barani Afrika

Picha: Huu ni Ushahidi kwamba BAWACHA ndio Taasisi bora kabisa ya Wanawake Barani Afrika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kutokana na Ugumu wa Maisha wa nchini Tanzania kwa sasa, inawezekana kabisa nusu ya wanaJF na Wanyonge wengine wakashindwa kwenda LIVE na kongamano la Bawacha, hii ni kwa vile LIVE coverage inahitaji Bando .

Kwa kuzingatia hilo tumeona ni vema tukawawekea wenzetu waliopungukiwa bando hizi Picha za Tukio ili angalau twende nao sawa.

Picha zenyewe ni hizi hapa.

FB_IMG_1678268271357.jpg
FB_IMG_1678268257192.jpg
FB_IMG_1678268248299.jpg
FB_IMG_1678268234889.jpg
FB_IMG_1678268242753.jpg
FB_IMG_1678268202799.jpg
FB_IMG_1678268219606.jpg

Karibuni sana.
 
Rais Samia azidi kuweka records:

Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa JMT.

Rais wa kwanza kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la chama cha upinzani.

Rais wa kwanza kukubalika na watanzania wa makundi mengi ikiwemo vyama vya upinzani.

Rais wa pili (wa kwanza ni Ali Hassan Mwinyi) baada ya kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi vya upinzani kutochafua mikono yake kwa damu za wanachama au wapenzi wa vyama vya upinzani: Ikumbukwe wakati wa utawala wa Mkapa, wanachama wa CUF zaidi ya 20 waliuawa na jeshi la Polisi. Wakati wa Kikwete, kuna wanachama wa CHADEMA waliuawa kwa bomu kwenye mkutano Arusha, mwenyekiti wa CHADEMA Arusha aliuawa kwa chainsew machine kwa kukatwa kichwa, Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Geita aliuawa kwa kukatwa mapanga na kundi linaloaminika kufadhiliwa na Musukuma; wakati wa Magufuli ilikuwa kilele cha uovu wote dhidi ya wapinzani.
 
Kutokana na Ugumu wa Maisha wa nchini Tanzania kwa sasa , inawezekana kabisa nusu ya wanaJF na Wanyonge wengine wakashindwa kwenda LIVE na kongamano la Bawacha , hii ni kwa vile LIVE coverage inahitaji Bando .

Kwa kuzingatia hilo tumeona ni vema tukawawekea wenzetu waliopungukiwa bando hizi Picha za Tukio ili angalau twende nao sawa .

Picha zenyewe ni hizi hapa .

View attachment 2541699View attachment 2541700View attachment 2541701View attachment 2541702View attachment 2541703View attachment 2541705View attachment 2541706

Karibuni sana .
Ilitabiriwa chadema mwisho ni 2025 mwenyekiti kawapelekea buyu la asali bawacha kwushinei!
 
Rais Samia azidi kuweka records:

Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa JMT.

Rais wa kwanza kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la chama cha upinzani...
Mimi Chadema wakisema wasisimamishe mgombea ili wamuache amalizie kioindi chake nitawaunga mkono. Kikubwa nguvu wazipeleke bungeni ili wakalichukue bunge. Huyu mama wamuache amalizie kazi ngumu aliyoianza.

Kikwete sijui alibugi wapi, ilikua ni fursa yake hii, akaleta uhuni wa kizoba kwa kuwahofia wahafidhina wa CCM akina Sitta ambapo Mungu naye asivyo mnafiki akawatandika na sasa hawapo tena kushuhudia hicho walicho kishinikiza
 
Kwa mara ya kwanza Mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya CHADEMA. Maadhimisho ya mwakani nashauri BAWACHA wafanyie shughuli yao kwenye ukumbi wa CCM Dodoma.

Mama anaupiga mwingi
 
Mtoa post Rekebisha kauli yako

Sio kwamba Tanzania wote ni wanyonge ila familia yako na wengine pili hatuna hali ngumu ya maisha ila CHADEMA pekee ndiyo wenye njaa ya kuuza chama.

Full stop
 
Kutokana na Ugumu wa Maisha wa nchini Tanzania kwa sasa , inawezekana kabisa nusu ya wanaJF na Wanyonge wengine wakashindwa kwenda LIVE na kongamano la Bawacha , hii ni kwa vile LIVE coverage inahitaji Bando .

Kwa kuzingatia hilo tumeona ni vema tukawawekea wenzetu waliopungukiwa bando hizi Picha za Tukio ili angalau twende nao sawa .

Picha zenyewe ni hizi hapa .

View attachment 2541699View attachment 2541700View attachment 2541701View attachment 2541702View attachment 2541703View attachment 2541705View attachment 2541706

Karibuni sana .
Wanawake wa chadema kwa pamba TU.
Hakuna mfanowe.
 
Mimi Chadema wakisema wasisimamishe mgombea ili wamuache amalizie kioindi chake nitawaunga mkono. Kikubwa nguvu wazipeleke bungeni ili wakalichukue bunge. Huyu mama wamuache amalizie kazi ngumu aliyoianza.

Kikwete sijui alibugi wapi, ilikua ni fursa yake hii, akaleta uhuni wa kizoba kwa kuwahofia wahafidhina wa CCM akina Sitta ambapo Mungu naye asivyo mnafiki akawatandika na sasa hawapo tena kushuhudia hicho walicho kishinikiza
kwenye siasa hakuna mambo kama hayo , kwanza Samia hatogombea 2025
 
Back
Top Bottom