Picha: Huu ni Ushahidi kwamba BAWACHA ndio Taasisi bora kabisa ya Wanawake Barani Afrika

Mtoa post Rekebisha kauli yako

Sio kwamba Tanzania wote ni wanyonge ila familia yako na wengine pili hatuna hali ngumu ya maisha ila CHADEMA pekee ndiyo wenye njaa ya kuuza chama.

Full stop
Wacha weeee !!
 
kwenye siasa hakuna mambo kama hayo , kwanza Samia hatogombea 2025
Siasa haina sura ya aina moja, ndiyo maana pamoja na aina ya siasa zetu bado rais amealijwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Chama ya CHADEMA.
Pia, kwa kwa kuwa msingi mkubwa wa maridhiano unajengwa juu ya maslahi ya taifa na uhuru wa kisiasa usiohitaji huruma ya auna ya raus atakayekuwepo madarakani, what if ili kufika huko CHADEMA watalazimika wamsaidie aliyepo ili washirikiane kufikisha nchi na siasa zetu huko kuliko kutoa fursa kwa wahafidhina kujiimarisha na kuua mipango yote?
 
Ahamie chadema
 

Ndioooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…