Picha: Huyu msanii huwa yupo?

Ila dada yetu Raisi Samia ni mtu muungwana asiye na makuu kabisa, ukweli huu ni lazima tuuseme. Tatizo linaanza pale tu ambapo amezungukwa na kugeuzwa mateka wa genge la majambazi wala nchi, ambao kwa namna moja au nyingine ndiyo wamemuhakikishia usalama wake, dhidi ya lile genge jingine dhalimu.....

Kuna siku huwa namkasirikia mno kwa jinsi mambo yanavyoenda nchini, lakini kila nikifiri kwa uhalisia huwa naishia tu kumuonea huruma. Namuombea Mungu amsaidie na kumtunza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…