Picha: Huyu msanii huwa yupo?

Picha: Huyu msanii huwa yupo?

wa tatu ni huyu hapa Msanii
Juma Necha wanakuja kivingine kupitia TNC yaani Temba Necha na Chege.

Mtawaona kwenye majukwaa makubwa ya CCM maana washanunuliwa na wameshakaa kambini zaidi ya mwaka kwa ajili hiyo....

Bwana Kipara ni righthand wa Kiherehere basi kila jambo akipanga linapigwa tiki
 
Ila dada yetu Raisi Samia ni mtu muungwana asiye na makuu kabisa, ukweli huu ni lazima tuuseme. Tatizo linaanza pale tu ambapo amezungukwa na kugeuzwa mateka wa genge la majambazi wala nchi, ambao kwa namna moja au nyingine ndiyo wamemuhakikishia usalama wake, dhidi ya lile genge jingine dhalimu.....

Kuna siku huwa namkasirikia mno kwa jinsi mambo yanavyoenda nchini, lakini kila nikifiri kwa uhalisia huwa naishia tu kumuonea huruma. Namuombea Mungu amsaidie na kumtunza.....
Hivi huyo mama anafanya Sanaa ipi
 
Back
Top Bottom