Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yule bodyguard wa marehemu Magufuli.
Wanahojiwa hadi ja wabunge sembuse kujadiliwa? Ni huku tu ndo mnawaweka kwenye position ya umungu mtu. Hao ni wafanyakazi wa setikali na wanapaswa wawepo kwa maslahi ya ummaHivi na nchi nyingine watu wenye kazi kama ya jamaa wanajadiliwa hivihivi, maana naona kwa unyeti wa kazi ya jamaa sidhani kama ni Sahihi kujadiliwa muda wote,zaidi kuheshimiwa,
Kazi za ofisini kiyoyoziMbona amekuwa brown. Miaka mitano iliyopita alikuwa deep black
Watakuja kusema Jiwe Alikuwa anamtesa.Mbona amekuwa brown. Miaka mitano iliyopita alikuwa deep black