Duuu,
Nlipokuwa mdogo nlijua ni mjeruman aliyejifunza kiswahil
kumbe ww ulipokuwa mdogo mkuu,mie mpka hapa juzi kati tu nlikuwa nafikiria ivo ivo hasa ukiisikiliza ile lafudhi yake na namna anavotamka maneno ya kiswahili kama mtu anaepata shida saaana kuyatamka vema kwa kutokuwa mweledi wa lugha iyo.
....dah; nimeanza kumsikia nikiwa kadogooo mpk leo midevu kibao!
View attachment 308753
Wengi wenu mmekuwa mkimsikia mtangazaji huyu mkongwe wa DW na mkijiuliza ni mwanaume au mwanamke.
Ukweli ni kuwa Oumilkheir ni mwana mama na picha yake ndio hiyo hapo juu.Ni raia wa Comoro na alijiunga na DW miaka ya 70
Mhhhh....[emoji85]Namkaribisha Tanzania, ningependa angekuwa mtanzania au aje amalizie maisha yake hapa Tz!!
Penda sana huyu mama!!