Picha: Huyu Ndiye Oumilkheir Mtangaziji Wa DW Ujerumani

Picha: Huyu Ndiye Oumilkheir Mtangaziji Wa DW Ujerumani

Duuu,
Nlipokuwa mdogo nlijua ni mjeruman aliyejifunza kiswahil

kumbe ww ulipokuwa mdogo mkuu,mie mpka hapa juzi kati tu nlikuwa nafikiria ivo ivo hasa ukiisikiliza ile lafudhi yake na namna anavotamka maneno ya kiswahili kama mtu anaepata shida saaana kuyatamka vema kwa kutokuwa mweledi wa lugha iyo.
 
Kweli mkuu, sema anakipaji kizuri sio hawa watangazaj wetu..
 
Tupienia audio yake wadau... For Jf archives.

Nampenda sana.
 
Ndiye mtangazaji anayenivutia kuliko wote ninaowasikiliza
 
Kuna huyu mama na yule Othumani Miraji, hata kama habari mbaya nitawasikiliza tu!
 
Huyu alikuwa mke wa shaaban shangama aliyewahi kuwa 2aziri wa mambo ya nje wa comoro kabla serikali yao haijapinduliwa
 
Dah.. Yaani maisha yote nilijua ni mzungu Mjerumani aliyejifunza Kiswahili.
 
Hee kumbe ni mwanamke...nilianza kumsikia nikiwa bado kinda kabisa na miaka yote hiyo nilijua ni mwanaume!

Am confused???
 
Daah! mimi huwa nasikitika tu pale watanzania wanaposhindwa kuchangamkia fursa hizi
 
Back
Top Bottom