Picha: Huyu Ndiye Oumilkheir Mtangaziji Wa DW Ujerumani

aseeee since siwez kutamka hyo welle vzur mpaka ssa anapeta tu
 
Huyu ndio alikuwa kengere ya nyumbani ya muda wa chakula mchana. Yaani ilikuwa inatokea coincidence saana tukianza kula tu na yeye anaanza kurindima.

Mpaka nyumbani chakula cha mchana tukaanza kukiita Deutche velle. Dogo anakuja kukuitia msosi unasikia kaka deutche velle tayari!! Hapo ujue msosi wa mchana huko mezani. Loh!!
 
View attachment 308753
Wengi wenu mmekuwa mkimsikia mtangazaji huyu mkongwe wa DW na mkijiuliza ni mwanaume au mwanamke.
Ukweli ni kuwa Oumilkheir ni mwana mama na picha yake ndio hiyo hapo juu.Ni raia wa Comoro na alijiunga na DW miaka ya 70
Bhanaaa Sauti ya huyu mama tamu sanah..mara ya kwanza nlidhani ni mdada
 
Berliiin, waandamanaji katika mji wa Gaza wamemiminika majiani wakilaani maguvu yanayotumiwa na wanamgambo wa Izraiil dhidi ya Wapalastina.

Wakati huohuo Chansela Helmot Kohl atarajiwa kuhudhiria mkutano huko Baanin (Benin).
Hahahha chanselor bibi angela makel ...
 
Berliiin, waandamanaji katika mji wa Gaza wamemiminika majiani wakilaani maguvu yanayotumiwa na wanamgambo wa Izraiil dhidi ya Wapalastina.

Wakati huohuo Chansela Helmot Kohl atarajiwa kuhudhiria mkutano huko Baanin (Benin).
Umetiiiishaaaa mkuuu Yaani huyu mama ananikosha huwa nikimsikiliza natabasamu tuu mwenyewe kwa raha niipatayo akitangaza..
 
Aisee nilikuwa nadhani ni ME.nashukuru nimejua huwa napenda sana utangazaji wake.
 
Hii redio imekosa watu wa kuisogeza karibu na wasikilizaji wake kama wanavyofanya BBC,inaonekana wana urasimu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…