Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nampenda sana huyu
fanyia vya maana huo mkopoHizi avatar zingine eti "mhuni"..nambie huko wapi bibie nina kamkopo ka saccos kananiwasha..siku hzi hakuna cha kuoneana aibu hapa tunamalizana. Enhee nambie show inaendaje?
Bhanaaa Sauti ya huyu mama tamu sanah..mara ya kwanza nlidhani ni mdadaView attachment 308753
Wengi wenu mmekuwa mkimsikia mtangazaji huyu mkongwe wa DW na mkijiuliza ni mwanaume au mwanamke.
Ukweli ni kuwa Oumilkheir ni mwana mama na picha yake ndio hiyo hapo juu.Ni raia wa Comoro na alijiunga na DW miaka ya 70
Hahahha chanselor bibi angela makel ...Berliiin, waandamanaji katika mji wa Gaza wamemiminika majiani wakilaani maguvu yanayotumiwa na wanamgambo wa Izraiil dhidi ya Wapalastina.
Wakati huohuo Chansela Helmot Kohl atarajiwa kuhudhiria mkutano huko Baanin (Benin).
Umetiiiishaaaa mkuuu Yaani huyu mama ananikosha huwa nikimsikiliza natabasamu tuu mwenyewe kwa raha niipatayo akitangaza..Berliiin, waandamanaji katika mji wa Gaza wamemiminika majiani wakilaani maguvu yanayotumiwa na wanamgambo wa Izraiil dhidi ya Wapalastina.
Wakati huohuo Chansela Helmot Kohl atarajiwa kuhudhiria mkutano huko Baanin (Benin).
YUPO GOODView attachment 308753
Wengi wenu mmekuwa mkimsikia mtangazaji huyu mkongwe wa DW na mkijiuliza ni mwanaume au mwanamke.
Ukweli ni kuwa Oumilkheir ni mwana mama na picha yake ndio hiyo hapo juu.Ni raia wa Comoro na alijiunga na DW miaka ya 70
Radhia Sweety mambo?Huyu mbona mi najuaga ni dume. Msinichanganye
si uiangalie huko YouTubeMkuuu nitupie wasapu 0753 92 99 53