Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Meza zimepinduliwaYani na wanawavua kweli kweli...wanaume nao wamechoka kudangwa wameanza kudanga nao
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote[emoji8]. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi [emoji1787]
Sasa tukirudi kwa domo watu anaochaet nao ata Mungu hapendi[emoji1787][emoji1787], mwenzio anacheat na watu , wewe una cheat na vidudu mtu , Sasa kweli zari ni wa kumgonganisha na Kim nana? , hamisa mobeto ? , official lyn? ... yan bora tu alivyokukomoa ku cheat na wanaume ambao huwafikii hata robo , na usikute alikua hata hakupendi. Shoga alikua anataka tu nyumba na kashapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Domo Ana pesa Ila vijanamke anavyotoka navyo vya ajabu ajabu , si bora hata tungekusikia na wewe unatoka na kina Yemi alade, mastaa wakubwa wa nje, unakuja ku date na vichawi unaishia kurogwa tu mxieew , yani domo Ana pesa Ila class Hana kwa kweli [emoji1787][emoji1787]
Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him [emoji1787][emoji1787][emoji1787], zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu shoga angu zari na wewe unapenda wanaume heavy built , Masculine body , yan ukiangalia kuanzia p -square, trainer na huyu king bae miili yao imeshiba haswa, sio domo mwili kama Ana kifafa [emoji1787], zari alikua anataka tu maslahi kwa domo , it seems kabisa hakua type yake , sema pesa tu ashukuru View attachment 1085560View attachment 1085561
HAHAH HAHAHATrainer kavaa skin jeans
Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
Trainer kavaa skin jeans
Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] powermbavuu diamond lazime wamjaze shinginiJamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote[emoji8]. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi 🤣
Sasa tukirudi kwa domo watu anaochaet nao ata Mungu hapendi🤣🤣, mwenzio anacheat na watu , wewe una cheat na vidudu mtu , Sasa kweli zari ni wa kumgonganisha na Kim nana? , hamisa mobeto ? , official lyn? ... yan bora tu alivyokukomoa ku cheat na wanaume ambao huwafikii hata robo , na usikute alikua hata hakupendi. Shoga alikua anataka tu nyumba na kashapata🤣🤣🤣.
Domo Ana pesa Ila vijanamke anavyotoka navyo vya ajabu ajabu , si bora hata tungekusikia na wewe unatoka na kina Yemi alade, mastaa wakubwa wa nje, unakuja ku date na vichawi unaishia kurogwa tu mxieew , yani domo Ana pesa Ila class Hana kwa kweli 🤣🤣
Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him 🤣🤣🤣, zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote🤣🤣🤣
Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola🤣🤣🤣🤣
Halafu shoga angu zari na wewe unapenda wanaume heavy built , Masculine body , yan ukiangalia kuanzia p -square, trainer na huyu king bae miili yao imeshiba haswa, sio domo mwili kama Ana kifafa 🤣, zari alikua anataka tu maslahi kwa domo , it seems kabisa hakua type yake , sema pesa tu ashukuru View attachment 1085560View attachment 1085561
Kama ulikuepo kwenye mawazo yangu.Trainer kavaa skin jeans
Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake