Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Aisee..hata me ningecheat kwakweli..lol!

Tatizo wanaume wa hivi hawakawii kua mwendo
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote[emoji8]. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi [emoji1787]

Sasa tukirudi kwa domo watu anaochaet nao ata Mungu hapendi[emoji1787][emoji1787], mwenzio anacheat na watu , wewe una cheat na vidudu mtu , Sasa kweli zari ni wa kumgonganisha na Kim nana? , hamisa mobeto ? , official lyn? ... yan bora tu alivyokukomoa ku cheat na wanaume ambao huwafikii hata robo , na usikute alikua hata hakupendi. Shoga alikua anataka tu nyumba na kashapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Domo Ana pesa Ila vijanamke anavyotoka navyo vya ajabu ajabu , si bora hata tungekusikia na wewe unatoka na kina Yemi alade, mastaa wakubwa wa nje, unakuja ku date na vichawi unaishia kurogwa tu mxieew , yani domo Ana pesa Ila class Hana kwa kweli [emoji1787][emoji1787]

Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him [emoji1787][emoji1787][emoji1787], zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Halafu shoga angu zari na wewe unapenda wanaume heavy built , Masculine body , yan ukiangalia kuanzia p -square, trainer na huyu king bae miili yao imeshiba haswa, sio domo mwili kama Ana kifafa [emoji1787], zari alikua anataka tu maslahi kwa domo , it seems kabisa hakua type yake , sema pesa tu ashukuru View attachment 1085560View attachment 1085561
 
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote[emoji8]. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi 🤣

Sasa tukirudi kwa domo watu anaochaet nao ata Mungu hapendi🤣🤣, mwenzio anacheat na watu , wewe una cheat na vidudu mtu , Sasa kweli zari ni wa kumgonganisha na Kim nana? , hamisa mobeto ? , official lyn? ... yan bora tu alivyokukomoa ku cheat na wanaume ambao huwafikii hata robo , na usikute alikua hata hakupendi. Shoga alikua anataka tu nyumba na kashapata🤣🤣🤣.

Domo Ana pesa Ila vijanamke anavyotoka navyo vya ajabu ajabu , si bora hata tungekusikia na wewe unatoka na kina Yemi alade, mastaa wakubwa wa nje, unakuja ku date na vichawi unaishia kurogwa tu mxieew , yani domo Ana pesa Ila class Hana kwa kweli 🤣🤣

Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him 🤣🤣🤣, zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote🤣🤣🤣


Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola🤣🤣🤣🤣


Halafu shoga angu zari na wewe unapenda wanaume heavy built , Masculine body , yan ukiangalia kuanzia p -square, trainer na huyu king bae miili yao imeshiba haswa, sio domo mwili kama Ana kifafa 🤣, zari alikua anataka tu maslahi kwa domo , it seems kabisa hakua type yake , sema pesa tu ashukuru View attachment 1085560View attachment 1085561
[emoji1] [emoji1] [emoji1] powermbavuu diamond lazime wamjaze shingini
 
Back
Top Bottom