Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Kala papuchi ya muke wa diamond?😳
 
Mwenzako anaona bado analipa ndiyo maana.
 
Tukose ongezeko la mishahara hata ubuyu nao tukose
 
Kupewa mambo na bi zari lazima atakuwa alipewa
Tena siyo Mara moja. Ni kibenten chake.
Kinamchuna zari ndiyo maana kilikubali kufichwa kama utumbo kipindi dai yupo na zari, ili zari atoe k kwa domo ipatikane hela ya kuhongwa yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…