Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Kumbe we ni demu...
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote[emoji8]. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi [emoji1787]

Sasa tukirudi kwa domo watu anaochaet nao ata Mungu hapendi[emoji1787][emoji1787], mwenzio anacheat na watu , wewe una cheat na vidudu mtu , Sasa kweli zari ni wa kumgonganisha na Kim nana? , hamisa mobeto ? , official lyn? ... yan bora tu alivyokukomoa ku cheat na wanaume ambao huwafikii hata robo , na usikute alikua hata hakupendi. Shoga alikua anataka tu nyumba na kashapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Domo Ana pesa Ila vijanamke anavyotoka navyo vya ajabu ajabu , si bora hata tungekusikia na wewe unatoka na kina Yemi alade, mastaa wakubwa wa nje, unakuja ku date na vichawi unaishia kurogwa tu mxieew , yani domo Ana pesa Ila class Hana kwa kweli [emoji1787][emoji1787]

Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him [emoji1787][emoji1787][emoji1787], zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Halafu shoga angu zari na wewe unapenda wanaume heavy built , Masculine body , yan ukiangalia kuanzia p -square, trainer na huyu king bae miili yao imeshiba haswa, sio domo mwili kama Ana kifafa [emoji1787], zari alikua anataka tu maslahi kwa domo , it seems kabisa hakua type yake , sema pesa tu ashukuru View attachment 1085560View attachment 1085561
 
"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."- Rais Dkt Magufuli https://t.co/y5l95xAqvW

[emoji28] Mzee baba noma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Eti mimi nilikuwa mwalimu nikaoa mwalimu ambaye anazijua changamoto hizi.

Serikali inawapenda wafanyakazi

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Binamu hebu nifafanulie, Mondi hawafikii hao jamaa kwenye kunyanyua vyuma au hawafikii kwenye nini?
 
Trainer kavaa skin jeans

Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
Joanah nimekupenda bure, nimemuuliza binamu Warumi kwamba Mondi hawafikii hao jamaa kwenye kupiga gym au hawafikii kwenye nini? Namsubiri anijibu ili niulize swali dogo la nyongeza.
 
Huyo trainer ni handsome hatari aisee yuko vzuri
 
Wanatumiana kupata mtu wa kukidhi haja zako za mwili si jambo lakubeza hata kidogo aisee
Okay kwa hiyo alikuwa kimaslahi tuu kwa Domo. Ila sishangai maana amesema anatumia K kuishi mjini.
BTW, hata huyo trainer na wengine wanamtumia zari kimaslahi. Kwa sababu hamna mtu mwenye muda wa kupoteza kwa mwanamke mwenye watoto wa5 kama hayupo kwake kimaslahi.
 
Back
Top Bottom