Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Walitoka na nisha kweli? Si ilikuwa ni kiki ya video ambayo brown alikuwa video king?
Mie najua walitoka kweli...ilikuwa ni zaidi ya kiki ya video
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitoka na nisha kweli? Si ilikuwa ni kiki ya video ambayo brown alikuwa video king?
Nisha hana hela ya kumhonga yule[emoji23][emoji23]Mie najua walitoka kweli...ilikuwa ni zaidi ya kiki ya video
[emoji23][emoji23]Ilikua kiki , nisha atamtaka nani
Jamani Domo , hivi huoni hata aibu kuwataja wanaume walio cheat na ex baby wako? Maana tuseme tu ukweli they are Ten times better than you , sio P- square wala huyu trainer , hakuna hata mmoja unayemfikia , Ila trainer kadamshi, mwili kama wote[emoji8]. Ngoja nimpigie shoga angu zari anipe namba za trainer nataka kufanya mazoezi na Mimi [emoji1787]
Sasa tukirudi kwa domo watu anaochaet nao ata Mungu hapendi[emoji1787][emoji1787], mwenzio anacheat na watu , wewe una cheat na vidudu mtu , Sasa kweli zari ni wa kumgonganisha na Kim nana? , hamisa mobeto ? , official lyn? ... yan bora tu alivyokukomoa ku cheat na wanaume ambao huwafikii hata robo , na usikute alikua hata hakupendi. Shoga alikua anataka tu nyumba na kashapata[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Domo Ana pesa Ila vijanamke anavyotoka navyo vya ajabu ajabu , si bora hata tungekusikia na wewe unatoka na kina Yemi alade, mastaa wakubwa wa nje, unakuja ku date na vichawi unaishia kurogwa tu mxieew , yani domo Ana pesa Ila class Hana kwa kweli [emoji1787][emoji1787]
Jamani wanazengo ebu nisaidien kupata handle ya huyu trainer Instagram , ntahamia pretoria just for him [emoji1787][emoji1787][emoji1787], zari umejua kunikomeshea domo , hawa Ndo wanaume Sasa , Dudu layoyo kama lote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Trainer jaman utavunja ndoa yangu na @matola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu shoga angu zari na wewe unapenda wanaume heavy built , Masculine body , yan ukiangalia kuanzia p -square, trainer na huyu king bae miili yao imeshiba haswa, sio domo mwili kama Ana kifafa [emoji1787], zari alikua anataka tu maslahi kwa domo , it seems kabisa hakua type yake , sema pesa tu ashukuru View attachment 1085560View attachment 1085561
Hana k NishaIlikua kiki , nisha atamtaka nani
Trainer kavaa skin jeans
Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
Ingia ndani uweke mezani nitauonaSikuachi mpaka uchukue huu ushauri wallah [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kwa moyo mkunjufu wafanyakazi mnapewa hi!
View attachment 1085569
Nimeshauweka uchekiIngia ndani uweke mezani nitauona
🤣🤣🤣 Dah kwa kweliWafanyakazi njooni huku mpozwe na ubuyu
Sawa nikiingia nitauonaNimeshauweka ucheki
"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."- Rais Dkt Magufuli https://t.co/y5l95xAqvWWafanyakazi njooni huku mpozwe na ubuyu
Aisee"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."- Rais Dkt Magufuli https://t.co/y5l95xAqvW
[emoji28] Mzee baba noma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"Niliahidi kuwa, kabla sijaondoka madarakani nitaongeza mishahara ya wafanyakazi. Lakini muelewe ndugu zangu kuwa, bado sijaondoka madarakani."- Rais Dkt Magufuli https://t.co/y5l95xAqvW
[emoji28] Mzee baba noma
Joanah nimekupenda bure, nimemuuliza binamu Warumi kwamba Mondi hawafikii hao jamaa kwenye kupiga gym au hawafikii kwenye nini? Namsubiri anijibu ili niulize swali dogo la nyongeza.Trainer kavaa skin jeans
Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
Okay kwa hiyo alikuwa kimaslahi tuu kwa Domo. Ila sishangai maana amesema anatumia K kuishi mjini.
BTW, hata huyo trainer na wengine wanamtumia zari kimaslahi. Kwa sababu hamna mtu mwenye muda wa kupoteza kwa mwanamke mwenye watoto wa5 kama hayupo kwake kimaslahi.