Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Trainer kavaa skin jeans

Wakaka wa hivi unaweza kukuta naye ana bwana ake
Kabisa!! Hawa mara nyingi tunawaita msenge mbavu!! Kwa wenzetu wasenge wa hivu ndio wengi!!

Mwenzio siku hzi hawa vijana six packs na kuvaa vinguo vya ajabu sina imani nao..

Wakati nafanya utafiti wangu mdogo juu ya mashoga, mashoga wengi walikuwa na six packs.
 
kigimbi cha trainer
 
sio zari sio mondi,wote hawajatulia hamna cha huyu anatoka na vidudu huyu anatoka na watu, Kwa ujumla wote tunawaita Marrrrraaayaa....wabadilike na waache tabia za ivyo maana kila wanachofanya leo Kita wa affect watoto huko mbeleni.

Tunasikiliza hotuba za Nyerere hadi leo na zilirekodiwa kipindi cha ANALOG sasa kipindi hiki cha DIGITAL zari na diamond wake kazi kuchafuana wakae wakijua wao WASHAOZEANA zari kaoza mondi kaoza wote TABIA zao mbovu ila wanachokifanya sasa ni kuwaharibia WATOTO future zao.

Hatujua Tiffah atakuja kua nani wala nillan atakuja kua nani,Wazazi wanavyochafuana kwenye mitandao vitu havifutiki vinabaki TU sipati picha aibu ya watoto wa zari huko shule wanavyotaniwa kuhusu wazazi wao,labda sasa hv hawajielewi but will reach a time watoto wakisha pevuka kama hawa wazazi panzi wakiendelea na huu ujinga Watasababisha watoto wafanye mambo ya ajabu.

Zari,Diamond angalieni Future ya watoto wenu huu ujinga wenu shauri yenu.
 
mimi y
.....mimi kama mpiga chuma nasema watumia suplements wanawahi kujaa ila wakiacha wanaisha mapema..mfano..van vicker...sasa ndo unakuta kule chini nako kunachoka maana misuli inatanuliwa kwa nguvu ya supplements with low gym workout..madhara ya baadae ni shinikizo la damu la kushuka au kuua nguvu za kiume hadi kupelekea kua bwabwa ....pga chuma bila sumpliments..for hot and longer sexy body
 

Ni mwendo wa maslahi dogo, hata Diamond alikuwa na maslahi yake kwa Zari, vivyohivyo Zari kwa Diamond na hao wengine pia.

Bahati mbaya ni hapa tu wanapoanikana kwenye mitandao.
 




nimechelewa kuiyona coment yako but this is exactly truth
 
Huo uzoefu wewe kama mwanaume uliutoa wapi?? [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…