Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Picha: Huyu ndo Trainer anayedaiwa ku cheat na zari

Ina maana hujui faida ambazo Domo amezipata kwa zari? Takutajia chache. Exposure, watotona fanbase
 
Okay kwa hiyo alikuwa kimaslahi tuu kwa Domo. Ila sishangai maana amesema anatumia K kuishi mjini.
BTW, hata huyo trainer na wengine wanamtumia zari kimaslahi. Kwa sababu hamna mtu mwenye muda wa kupoteza kwa mwanamke mwenye watoto wa5 kama hayupo kwake kimaslahi.
Yes nimeamini kweli Una akili kubwa.
 
Okay kwa hiyo alikuwa kimaslahi tuu kwa Domo. Ila sishangai maana amesema anatumia K kuishi mjini.
BTW, hata huyo trainer na wengine wanamtumia zari kimaslahi. Kwa sababu hamna mtu mwenye muda wa kupoteza kwa mwanamke mwenye watoto wa5 kama hayupo kwake kimaslahi.

Licha ya maslahi, Zari ni mzuri kuliko vijidemu anavyotembea navyo domo, yaani vituko tupu tu. Wengine hata kujichamba sehemu za siri hawajuwi ila wako bize kuvaa mawigi na kuongea kiingereza kiingi kuiga watu wa majuu. Domo kachemka.
 
kwahiyo huyu zari alitaka ampige matukio domo mpaka waachane ama vipi,halafu domo kasema kuna wakati zari aliwahi kumleta huyu trainer mpaka nyumbani kwake

Ukiona mwanamke anakuletea mwanamme nyumbani kwako huku akimudumia basi juwa anakufukuza kiujanja. Ila tuache unafiki tuseme ukweli tu.....kwenu nyie wanawake...kati ya huyu jamaa/trainer na Domo nani anamfaa Zari? Semeni tu ukweli wenu.
 
Naombeni nichangie uzoefu wangu kwenye haya mambo
Ni wazi kwasasa Zari ana msongo wa mawazo hasa kutokana na mashambulizi anayopata kila kona... Lakini kama ukiweza kukaa naye ukamuuliza kwq hakika anaweza kukwambia kuwa Mondi ni kifaa japo naye anaaza makeups
Hawa wanaoitwa handsome men ni majanga tupu, pamoja na hawa wenye misuli, wengi wao ni mchicha mwiba na ngangaripoa
Mwanaume hapaswi kuwa mzuri kupitiliza. Mwanaume hapaswi kuwa na extra makeups... Mwanaume hapaswi kuwa na showoffs nyingi
Hawa masculine ni majanga, wengi wanahusudu kulala kisogo kikiangalia juu.. Wanaambiwa manii zinasaidia kuwaongezea nguvu kuliko dawa za kuongeza nguvu
Ila out of frustration na kujaribu kuponya maumivu ya kuachwa... Wanawake wengi hupenda kutoka na mwanaume mzuri kuliko aliyeachana naye bila kujali kipato.. Lakini niwaambieni ukweli wengi ni majanga kitandani... Kama si mchina mwiba basi ni ngangaripoa
Exactly
 
Huyu hana pesa 🤐

Domo alizoea kuchezea vijanajike vya Uswahilini visivyojitambua The Wema type. Kwa Zari alikuta ni mtu anayejitambua na anataka nini maishani, ndiyo maana ari alivyogundua jamaa (Domo) anatembea na vijanajike visivyojitambua akaanza kumuonyesha jamaa live kuwa ana uwezo wa kupata mwanamme yeyote amtakaye. Domo akijilinganisha na hao wanaume anajiona fala na ndiyo maana analia lia tu kila kukicha huku hasira akiwatolea hawa mademu wa kiswahili huko vichochoroni. Na siku hizi Domo kaanza kujichubua, anakunywa sana maji ya Ray Kigosi.
 
Hapo sasa. Hawa ni kama nyumbu.
Eti wivu, sasa wivu wa nini na amesema ni jasho la K yake[emoji23][emoji23].
Boss wao kawaumbua, kutwa walikuwa wanamsifu kwamba ni chapa kazi sasa leo wamegundua kazi yenyewe ni kutembeza K basi ndiyo uchungu.
Halafu k yenyewe rambo
 
Naombeni nichangie uzoefu wangu kwenye haya mambo
Ni wazi kwasasa Zari ana msongo wa mawazo hasa kutokana na mashambulizi anayopata kila kona... Lakini kama ukiweza kukaa naye ukamuuliza kwq hakika anaweza kukwambia kuwa Mondi ni kifaa japo naye anaaza makeups
Hawa wanaoitwa handsome men ni majanga tupu, pamoja na hawa wenye misuli, wengi wao ni mchicha mwiba na ngangaripoa
Mwanaume hapaswi kuwa mzuri kupitiliza. Mwanaume hapaswi kuwa na extra makeups... Mwanaume hapaswi kuwa na showoffs nyingi
Hawa masculine ni majanga, wengi wanahusudu kulala kisogo kikiangalia juu.. Wanaambiwa manii zinasaidia kuwaongezea nguvu kuliko dawa za kuongeza nguvu
Ila out of frustration na kujaribu kuponya maumivu ya kuachwa... Wanawake wengi hupenda kutoka na mwanaume mzuri kuliko aliyeachana naye bila kujali kipato.. Lakini niwaambieni ukweli wengi ni majanga kitandani... Kama si mchina mwiba basi ni ngangaripoa

Kijana Mshana Jr ni hivi: Hakuna mwanamke yeyote anayejitambua akakubali kufanyiwa ujinga na mwanamme dizaini ya Mondi, bisha usibishe.....ukweli ndiyo huu. Jibu sahihi la mwanamke yeyote anayejitambua akifanyiwa ujinga kwanza utoa onyo kwa mwanamme wake na kama mwanamme anazidi uongo kuendekeza ujinga wake malipo yake ni haya haya aliyofanya Zari. Anatafuta mwanamme handsome ili amuumize jamaa yake zaidi. Wewe jiulize haswa nyie wanawake, hivi Diamond anaweza kweli kujifananisha na hao wanaume aliotembea nao Zari? Kuna sababu kwanini Diamond analia lia mitaani, anajuwa fika kabisa kuwa hawezi jifananisha na hao wanaume. Si Zari tu, wanawake wanaojitambua wako hivi, unamfanyia ujinga anakuletea mbadala wako live ili uumie na wewe. Msimpe moyo Domo, mwacheni aonje machungu yake na yeye. Mtenda katendewa, mtaa mzima unamcheka.
 
Vinguo vimembanaa. Zari si amnunulie suruali za kutosha tu.
 
Back
Top Bottom