Picha: Huyu sio Chief kweli?

Tulitokomeza mamlaka za machifu na lilikuwa jambo zuri sana. Wanasiasa leo wanataka kuwarudisha ili kujipatia points za kisiasa. Hovyo sana.
 
Ni yeye mwenyewe Mkuu..
Tofauti ni kwamba huko alikuwa kavaa kofia ya Chief mwemye Mvi...

Na hapo.kwenye Nyumba chief mwenye mVi nyeupe kavaa kofia ile aliyokuwa amevaa

Nmechunguza upya nimegundua mkuu,Hawa machifu mara nyingi shule hakuna kichwani,Dr Tulia anawatumia kisiasa!huyo Mwenye rasta eti ndo chief mkuu wa mkoa wa Mbeya,nadhani alipewa kisiasa.
 
Tumia Dr , msomi, lakini kawekeza kwenye ulozi.

Kusoma Si kuelimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…