Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

Wanne tu wakati mayahudi zaidi elf 1 washateketea? Lkn hao wametangulia peponi huku wakiristo wakifa na mayahudi wao motoni. Kila mkiristo akifa ktk ukiristo motoni
umekalilishwa na ww utawakalilisha wanao
 
Wanne tu wakati mayahudi zaidi elf 1 washateketea? Lkn hao wametangulia peponi huku wakiristo wakifa na mayahudi wao motoni. Kila mkiristo akifa ktk ukiristo motoni
Linganisha na idadi ya wapalestina na haya magaidi waliokufa!
 
The 13th battalion (of the Golani Brigade) has officially left the Gaza Strip due to heavy losses among its commander ranks & soldiers. The battalion practically became paralysed, the remaining soldiers were sent to a medical institution since they are suffering from physical & mental problems and can’t continue to fight.
 
kama marehemu mohamad yupo mbinguni kwa Mungu hao nao watakuwa mbinguni,lakini kama yupo kaburini nao watakuwa alipo mohamadi. Hao wakristo alipo yesu watakuwepo. Yupo mbinguni nao watakuwa alipo kristo
Wanne tu wakati mayahudi zaidi elf 1 washateketea? Lkn hao wametangulia peponi huku wakiristo wakifa na mayahudi wao motoni. Kila mkiristo akifa ktk ukiristo
 
kama marehemu mohamad yupo mbinguni kwa Mungu hao nao watakuwa mbinguni,lakini kama yupo kaburini nao watakuwa alipo mohamadi. Hao wakristo alipo yesu watakuwepo. Yupo mbinguni nao watakuwa alipo kristo
Mkiristo ili apate pepo lazima aingie ktk uislam
 
Kwa nini kila mkristo akifa ktk ukristo anaenda motoni, una maana gani kwamba dini ndio inamuingiza mtu peponi, dini hizi hizi ambazo zimeletwa na binadamu, are you serious??😛😛
Shangaa na wewe....
 


UN: ===>>>>> If there is a hell on Earth today, its name is northern Gaza.


View: https://youtu.be/16hq1CXl5Lc?si=Kc_d3ojHWDi7Gohg
 
Jana Aljazeera imeripoti kuwa tangu kuanza kwa vita hapo Gaza, israel imefanikiwa kuwaua wapiganaji wa hamas zaidi ya 8,000.
Kiujumla Gaza yote ni nyumbani kwa magaidi ya hamas kwa kuwa kila wakiitisha uchaguzi hamas walikuwa wanashinda. Hivyo si wanaume wala wanawake na watoto wote ni walewale. Namsifu Israel, anahuruma sana, wengine wangepiga mabomu ya sumu kuua hadi sisimizi wa gaza. Lakini ni huruma za Netanyahu tu.
 
Pole kijana 🤣
Yaani mnapigana halaf mnataka mumpangie jamaa asipige vichwa vya pua na utosi
Usilolijua nikwamba hii vita isingechukua hata dakika 30 kama mazayuni yangeenda kuwafata hamas huko walipokaa
Sasa basi tumue kupangiana israhell wasitumie ndege na makombora yakutokea baharini waende front
Toka hii vita imeanza wewe ndio umewahi toa hoja ya hovyo kabisa kuwahi kuiona
 
Ndio maana ehud olmert akatoa mlio huko pangoni alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…