Kama unailipia ili iwafikie ata wale ambao hawajasubscribe channel yako.Kuwa sponsored maana yake wanailipia itrend au?
Ooh asanteKama unailipia ili iwafikie ata wale ambao hawajasubscribe channel yako.
Nimeona pia, wametumia akaunti tofauti na wao, ila ni wao.Wakuu,
Hivi hizi hela hawa jamaa wanazotumia kwenye hizi propaganda zao si ni kodi zetu Watanzania?
Mbona kama mfumo umepaniki sana?
View attachment 3484084