Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

Hahahhh una vituko wewe! Chini ya mwamvuli wa chuma kujikinga na jua na mvua....dunia imetoka mbali. Nao ni ujuzi wa kipekee
 
Pakistan ni nchi moja ya kishenzi sana..jamaa ni wabaguzi mpaka kwenye kope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…