Picha iliyoniboa sana leo hii..

Picha iliyoniboa sana leo hii..

duuh we Mtu B wewe ndo maana ulisalimika :becky::becky::becky:

Ile ilikuwa bahati yangu tu dadangu, lakini nakuhakikishia haihusiani na mavazi. Wapo wanaofunika kila kitu lakini ni 'high voltage' wamefunikia humo ndani, ukiingia kichwakichwa kwa vile ati ilikuwa 'imesitiriwa' umeuawa! Usipime kwa macho.
 
Jamani natumai kila mtu na mambo muhimu ya kufanya kuliko kuangalia biashara ya kila mtu, haya ni maisha yake na kila mmoja na maisha yake, la mwisho kabisa HAYATUHUSU. Hata akae uchi wa mnyama it's none of anybody's BUSINESS.:confused2:
 
Back
Top Bottom