kirimirimi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 287
- 194
Achs ufala we ng'ombe. Ulitumia cha nini ukijua sii lugha yako. Vaa basi gsuni la mkeo uendee ofisini. Hujui usitumie sio kila saa kujitetea sio lugha yetu. Kinachmokushinda kutumia ya kwako nn? Natamani niyacharaze mboko yarudi class sh...nzy typeKiingereza wito, lugha imekuja na meli hiyo, sio ajabu, China utakuta group la watu 100 ni mmoja tu anajua Kiingereza kama cha huyo alieandika hapo, kwa hiyo hiyo sio lugha yetu kawaida kabisa
We ndio ujui kiingeleza pale ujumbe upo sema grammar ndio hakuna na kinacho matter ni ujumbe, ndio muhimu alafu mwandishi kiingeleza kwake ni lugha ya tatu.
Wewe unaeona aibu ndio hujitambui.
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!
Kiingereza wito, lugha imekuja na meli hiyo, sio ajabu, China utakuta group la watu 100 ni mmoja tu anajua Kiingereza kama cha huyo alieandika hapo, kwa hiyo hiyo sio lugha yetu kawaida kabisa
Sasa Depay na Samata wanacheza namba moja? Hata hivyo ni miezi mi 4 tu nyuma huyu Depay alifanya makubwa katika World cup na pia alikuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uholanzi. Tunapenda ushabiki bila kuangalia facts na ndio maana tulimpanikisha Mkwasa na akafanya subs zisizo na mpango.
Back to topic; Kawaulize wachezaji wakubwa waliowahi kufundishwa na LVG watakuambia jamaa ana mfumo mgumu sana. Jamaa yuko hard sana,anapenda kutumia viungo wengi wa kukaba na ndio sababu ya Depay kushindwa kufit, siyo yeye tu hata Rooney anapata taabu. Ilimtokea Di Maria last season ... Hawapi wachezaji uhuru bali anataka wastick kwenye mfumo. Fergie yeye alikuwa dynamic, ndio maana aliweza kuchukua kombe hata kwa kutumia wachezaji wa kawaida sana.
Ukitaka kujua LVG ni mkorofi muulize Luca Toni alipokuwa pale Baryen Munich. Msimu wa nyuma Luca Toni alimaliza na magoli 40+ lakini LVG alipongia jamaa hakufikisha hata goli 20.
Kwa level EA Samata anajitahidi, tatizo ni kuwa hataweza kucheza ligi kubwa dunianni kwa sbb ya nafasi ya Tz kwenye viwango vya Fifa. Labda ajaribu Ubelgiji, au Urusi, au Denmark, akibahatika sn France. Kwa EPL au La Liga ni lazima utoke katika nchi iliyo ndani ya 70 bora. Ngoja nikomee hapo!
Yaani aibu sana. English ya wapi hii? "Good than"? Kweli itabidi kuongeza division six.