Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!
Yaani aibu sana. English ya wapi hii? "Good than"? Kweli itabidi kuongeza division six.
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!
Hakuna aibu yeyote kwani wanajua Kiingereza sio lugha yetu ya mama. Tena hufurahi sana kuona amejitahidi kuandika lugha yao. Ni mawazo yako tu.
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!
Iv huwa unapata mda wa kupitia daftari za mwanao kweli!?
Akili za kijinga kabisa hizi. Kiingereza si kipimo cha uwezo wa mtu kielimu. Wewe unajua fani ya huyo mbeba bango? Kwa nini udhani kwamba alipaswa kujua Kiingereza zaidi ya hapo?
Kwa taarifa yako, tuliobahatika kuwa tunakutana na watu wa mataifa mbali mbali kwenye miradi tunajua mengi sana kuhusu lugha na changamoto zake. Kazini kwangu ninaye Drilling Engineer kutoka Bosnia ambaye Kiingereza kwake ni mtihani. Sentensi hii 'We are going to the lunch' lazima aimimine kila siku mchana, Je, na huyu naye aongezewe division 6?
Achs ufala we ng'ombe. Ulitumia cha nini ukijua sii lugha yako. Vaa basi gsuni la mkeo uendee ofisini. Hujui usitumie sio kila saa kujitetea sio lugha yetu. Kinachmokushinda kutumia ya kwako nn? Natamani niyacharaze mboko yarudi class sh...nzy type
Tumia lugha unayoiweza usilazimishie unakuwa kitukoHivi unaweza kunipa sababu ya kunitolea maneno kama haya dada wewe? Kama umeachwa na bwana isiwe tabu kwetu, unamtukana kwa English wewe kiswahili hujui,
Tumia lugha unayoiweza usilazimishie unakuwa kituko
Humu ndani kuna watu wana boa sana!
Muingereza kukosea Kiswahili sio issue ya kujadili lakini mswahili akikosea kiingereza ni issue kubwa kweli!
Hata lengo la mada yenyewe halitazamwi!
Ujumbe umeeleweka sasa nyie wazungu waswahili basi kila mtu aweke thread yake ya kiingereza humu jf tuone wangapi mmefuzu hiyo lugha!
Mnakera!!!
tatizo sio kukosea,tatizo kutumia lugha usiyokuwa na umahiri nayo.angeandika kwa kiswahili tu