Picha iliyotembea sana kwenye media siku ya leo

Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!

Mbona una jealous wewe?!! Kiingereza cha Manchester hicho.
 
Yaani aibu sana. English ya wapi hii? "Good than"? Kweli itabidi kuongeza division six.

Akili za kijinga kabisa hizi. Kiingereza si kipimo cha uwezo wa mtu kielimu. Wewe unajua fani ya huyo mbeba bango? Kwa nini udhani kwamba alipaswa kujua Kiingereza zaidi ya hapo?

Kwa taarifa yako, tuliobahatika kuwa tunakutana na watu wa mataifa mbali mbali kwenye miradi tunajua mengi sana kuhusu lugha na changamoto zake. Kazini kwangu ninaye Drilling Engineer kutoka Bosnia ambaye Kiingereza kwake ni mtihani. Sentensi hii 'We are going to the lunch' lazima aimimine kila siku mchana, Je, na huyu naye aongezewe division 6?
 
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!

Hakuna aibu yeyote kwani wanajua Kiingereza sio lugha yetu ya mama. Tena hufurahi sana kuona amejitahidi kuandika lugha yao. Ni mawazo yako tu.
 
Umezidi kuyakoroga"Lugha yetu ya mama"au lugha yetu mama,tunasema Lugha mama siyi lugha ya mama.

Vp na hii yaja kwa meli sheikh!
 
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!

Na hii ndio shida ya Watanzania. Jamaa ni kweli ameandika kiingereza kibovu lkn kwetu kiingereza ni third language sio sababu ya kusema anaiabisha nchi! Spain ni nchi ipo Ulaya lkn wanaoongea kiingereza ni asilimia chache kuliko Tanzania na hao pia wanaongea kiingereza kibovu!
 
bora asingeandika....pumbavu kabisa...ndio maana lowasa anasema elimu elimu elimu
 
Angalau kathubutu kutoa ujumbe wake.'So he is good than us too'

:majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Humu ndani kuna watu wana boa sana!
Muingereza kukosea Kiswahili sio issue ya kujadili lakini mswahili akikosea kiingereza ni issue kubwa kweli!
Hata lengo la mada yenyewe halitazamwi!
Ujumbe umeeleweka sasa nyie wazungu waswahili basi kila mtu aweke thread yake ya kiingereza humu jf tuone wangapi mmefuzu hiyo lugha!
Mnakera!!!
 
Akili za kijinga kabisa hizi. Kiingereza si kipimo cha uwezo wa mtu kielimu. Wewe unajua fani ya huyo mbeba bango? Kwa nini udhani kwamba alipaswa kujua Kiingereza zaidi ya hapo?

Kwa taarifa yako, tuliobahatika kuwa tunakutana na watu wa mataifa mbali mbali kwenye miradi tunajua mengi sana kuhusu lugha na changamoto zake. Kazini kwangu ninaye Drilling Engineer kutoka Bosnia ambaye Kiingereza kwake ni mtihani. Sentensi hii 'We are going to the lunch' lazima aimimine kila siku mchana, Je, na huyu naye aongezewe division 6?

Mkuu jamaa hawa ni mazuzu!!!
Utadhani hajaelewa content ya hiyo sentensi!!!!
 
Achs ufala we ng'ombe. Ulitumia cha nini ukijua sii lugha yako. Vaa basi gsuni la mkeo uendee ofisini. Hujui usitumie sio kila saa kujitetea sio lugha yetu. Kinachmokushinda kutumia ya kwako nn? Natamani niyacharaze mboko yarudi class sh...nzy type

Hivi unaweza kunipa sababu ya kunitolea maneno kama haya dada wewe? Kama umeachwa na bwana isiwe tabu kwetu, unamtukana kwa English wewe kiswahili hujui,
 
Tumia lugha unayoiweza usilazimishie unakuwa kituko
 
Wewe utakuwa Shemale bila shaka, hiyo picha nimeleta kama ilivyokuwa, na kama ilivyopostiwa kwenye mitandao, sihusiki nayo kwa namna yyte, nashangaa unatokwa povu kama makahaba wa kinondoni,
 
Haaaa haaaa mbv zangu!! Una uzoefu nao nini? Daaa pole sana
 
Humu ndani kuna watu wana boa sana!
Muingereza kukosea Kiswahili sio issue ya kujadili lakini mswahili akikosea kiingereza ni issue kubwa kweli!
Hata lengo la mada yenyewe halitazamwi!
Ujumbe umeeleweka sasa nyie wazungu waswahili basi kila mtu aweke thread yake ya kiingereza humu jf tuone wangapi mmefuzu hiyo lugha!
Mnakera!!!

tatizo sio kukosea,tatizo kutumia lugha usiyokuwa na umahiri nayo.angeandika kwa kiswahili tu
 
Angeandika kiswahili Van gaal angemuelewaje? Coz mlengwa wa huo ujumbe ni kocha wa Manchester united luis van gaal
 
Back
Top Bottom