Picha iliyotembea sana kwenye media siku ya leo

Naona jamaa kafikisha ujumbe wa kweli kabisa, hata mimi naamini Samatta yuko vizuri kuzidi Depay

Kumbe una "Amini" tu!! Mimi nilifikiri kuwa umetumia "fact" kuwalinganisha? Kaazi kweli kweli..!!
 
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!

Mkuu kwani kiingereza hicho cha mshkaji kinatofauti gani na kiingereza cha Mourinho!?

Au wewe unadhani aliyelengwa Van Gaal akisoma hapo hata elewa?

Tatizo letu wabongo ndio hilo, unaacha kuangalia msingi wa kitu unakimbilia minor issues
 
Achs ufala we ng'ombe. Ulitumia cha nini ukijua sii lugha yako. Vaa basi gsuni la mkeo uendee ofisini. Hujui usitumie sio kila saa kujitetea sio lugha yetu. Kinachmokushinda kutumia ya kwako nn? Natamani niyacharaze mboko yarudi class sh...nzy type

Mkuu povu lote hilo la nini wakati wewe mwenyewe kiswahili chako tu huwezi kukiandika kwa ufasaha
Kweli nyani haoni kundule!!!!!
 
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!

Inaonekana unaiabudu sana hiyo lugha ya mashetani.
 
Ni only 6% ya watu wote duniani wanajua kingereza. Hivyo sio swala la ajabu kukosea.
 
Kiingereza sahihi mwachieni malkia hapa ni ujumbe tu.!!
 
Wanaaibisha nchi kwa kiingereza kibovu! 'Good' halafu 'than'!
Jamaa ameanika sura yake akidhani amefanya jambo kuubwa, kumbe angejua alichoandika huo uso angeuficha nyuma ya bango!
Amini usiamini hiko kingereza ni bora kabisa, neno good limetumika kama noun hapo,
angalia "rectitude" tatizo letu kingereza za east africa "too rigid"
 
Kikubwa ni kwamba ujumbe wake umeeleweka, suala la lugha ni la jumla.
 
Amini usiamini hiko kingereza ni bora kabisa, neno good limetumika kama noun hapo,
angalia "rectitude" tatizo letu kingereza za east africa "too rigid"
Mkuu hata Mimi wanajf wamenishangaza kwakweli..nmejaribu kutafuta kosa ila sijabahatika kuliona....ni sawa na mtu kusema"where was you"hapa eastafrica utaonekana umekosea..wao wamezoea kusema "where were you"
 
Watu wengine bwana sasa hata kama kakosea kiingereza wewe hujaelewa? Acheni unaa usio na msingi bwana, kijana kaeleweka kabisa.
 
Victor wanyama midfielder Wa Southampton Kenya ni ya ngapi kwenye rank za FIFA mkuu
 
Comparative adjective

Good
Better
Best

Kwa hiyo angeandika VAN GAAL Samatta Is better than Depay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…