Picha inaongea sana

Watapambana sana ila mwisho wao hauko mbali
Nacho ona serikali ita wakumbatia kupitia rufaa mpaka 2025, wakikubali kwamba ni batili kuna kanuni nyingi sana za bunge zita kiukwa. Na kuna pesa nyingi wata kosa kama bunge wakilishi la wana nnchi.
 
Kuna mambo ya itifaki ambapo akidi husika isipo timia bunge halita pata stahiki zilizo tajwa.
 
Hivi CDM hawawezi kuachana nao kabisa, kwenye issue zao wasiwataje wala kuwahusisha hao wabunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…