Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala.
Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.