Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Tafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala.
Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
View attachment 3397204
Hasadi ni kitu kibaya sana Kuna watu wakimwona Kikwete anavyozidi kunawiri wanaumia sana hawajui hiyo ni neema ya Allah hawawezi ibadilishaTafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala.
Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
View attachment 3397204
Catoonists amesahau kauri ya kukata vichwa vya watuTafakari kuhusu kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwishoni mwa juma katika uzinduzi wa kanisa la Mwamposa 'Arise and Shine' kwamba Bosi wake ni Kikwete ilivyoibua mijadala.
Ikumbukwe kuwa Rais ndio Mkuu kabisa wa Nchi ambaye anapewa madaraka na wananchi.
View attachment 3397204