Picha:interview kwa waliomba kazI WCB ya diamond

Picha:interview kwa waliomba kazI WCB ya diamond

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
BLOG0.jpg
keep hatin wakati wenzio wanatumia fursa vizuri..
ila kilichonifulahisha ..toka tangazo litoke hakuna coments ya matusi hata moja ..wanaume ambao ndio huongoza kwa coments za chuki na matus kwenye post za dianond ndio hao hao wakabadilika na kupongeza na kmsifia kwa majina yote...bongo bwana..
na haters wengi ikiwemo wa humu jf,ni wale jobless na wenye maisha yasiyoeleweka..badilikeni basi taifa lisonge..chuki za nini????????
 
View attachment 123727

I wonder umepewa hiyo kazi still lugha ni tatizo kwako na hutaki kujifunza,i hope angekuwa na mtu mwingine angekuwa mbali zaidi ya alipo sasa,unamwangusha sana
 
Mimi unaniudhi kwenye uandishi tu,unaandika andika kana kwamba unamtumia demu wako meseji.
 
Mmewaita then unawasimanga inaelekea kijana umetoka maisha ya shida sana ndio maana kupiga picha kwa diamond imekua bonge la ajira kwako,acha ulimbukeni
 
Katika yoote uandishi wako tu ndiyo unaoniudhi.
Diamond mwanamuziki maarufu hapa Afrika Mashariki anawezaje kuwa na mtu wa PR anayeandika kama huyu!!

Uandishi mbovu kwa viwango vyote, mpangilio, mantiki, kutengeneza 'substance', matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Kama kweli Diamond anataka kuwa mwanamuziki wa viwango vya Kimataifa anatakiwa kuwa na watu wa PR wenye uelewa wa kutosha na wanaojua ni wakati gani na mahali gani waongee au waandike nini.

Na mwisho mtu wa PR anatakiwa kujua kusoma na kuandika!

****
Kwa wewe Heaven on desert sikuonei ila kama unataka kumsaidia mtu unayempenda sana (kama ni kweli unampenda) andika kama shabiki wake tu lakini si kama mtu unayemfanyia kazi.
 
Mmewaita then unawasimanga inaelekea kijana umetoka maisha ya shida sana ndio maana kupiga picha kwa diamond imekua bonge la ajira kwako,acha ulimbukeni

siyo ametoka hadi leo ana dhiki huyu dogo!..unajua hawa mdananda wakiwa karibu na mastaa hata wakiwa hawapati pesa kwao ni mafanikio...rommy jones one blood na diamond hana maisha mnazuri atakuwa huyu mtoto ambaye kiukweli hata sijui katokea wapi kwani watu wa karibu wa nassibu wote nawanyaka!huyu ---- ukitaka kujua bado yupo gizani kupiga picha na nassib kaileta huku yaani hana tofauti na vicheche wanaoshobokea wakali
 
Diamond anabusara na hekima kuliko wewe,ilipaswa uwe house boy wake na sio kazi ya upro kwani unamtia aibu boss wako,jichunguze- kwa nini kila post unazodolewa??!! Unamiliki jukwaa hili kwa posts za mbovu mbovu!!
 
Utatukanwa mpaka upungue uzito kwa tabia yako hii ya utigo tigo.
 
Mdgo wangu mimi sijawahi kukujibu hata siku moja nasomaga habar zako nying napita ila leo acha nikushauri kitu.. Ili upate haters lazima uwe na tabia za kukera... Mfano ungeleta hii post hapa pasipo kashfa ukaeleza tu vzur jins zoez lilivyoenda vzur ungeonekana mstaarab sana lakin post yako yenyewe inachuki.. Huyu diamond anafanya vzur we'all knw dat.. Hakuna msanii/kundi la wasanii maarufu dunia hii aliyewah kutokea akakosa kundi la upinzani, toka enzi za kina Elvis presley, Maryln Monroe, The Beattles, Julio Iglesias, Michael Jackson, 2pac, Msondo ngoma, mpka enzi za kina 50 cent na Justine Bieber.. Sasa kupata wapinzan si ajabu! Anaimba mziki vzur ana hela kias, anajituma lakin kuna baadhi ya tabia hazipendezi kwenye jamii, pia kuna watu wanapenda wanamziki wengne sio lazima wampende diamond, kuna watu hawapend bongofleva sio lazima wapende mziki wa diamond, penye weng pana mengi so usishangae diamond kupata maadui kama ambavyo hata sisi hatujashangaa ww kuwaponda watu mliionyesha nia ya kuwasaidia cz kwa kawaida haukutakiwa kufanya hivyo ila tunakubali kwamba penye mengi pana mengi. Kwa fani uliyochagua inahitaji uwe selective na maneno pia binafs naona km hao haters unawatengeneza ww kuliko hali halisi.. jaribu kuonyesha "maturity" ukomavu wa kiakili... pia nimenotice matatizo madgo ya kishule mfano unaposema "kilichonifulahisha" hichi kiswahili ni kibaya sana, wanaongea kundi maskini na wasioenda shule katika jamii sasa rekebisha hizi kasoro jamaa yangu.. Mi skuchukii ila sipendag malalamiko ya mtu nnayeona yeye pia anahitaji kufanya jitihada.. bas ni hayo tu kama ntakua nimekukosea mahali niwie radhi ila hata hili jukwaa uwa napita tu sio mchangiaji sana.
 
Huyu dogo hawezi kubadilika nishamtetea humu na kumshauri lakini wapi..!

Hata huyo Diamond anawashauri wake wanamshauri anasikiliza ila huyu dogo kila mtu anamuangalia kwa jicho la chuki,

We unajiona supa zaidi ya Diamond?

Sent from BlackBerry 9520
 
View attachment 123727
keep hatin wakati wenzio wanatumia fursa vizuri..
ila kilichonifulahisha ..toka tangazo litoke hakuna coments ya matusi hata moja ..wanaume ambao ndio huongoza kwa coments za chuki na matus kwenye post za dianond ndio hao hao wakabadilika na kupongeza na kmsifia kwa majina yote...bongo bwana..
na haters wengi ikiwemo wa humu jf,ni wale jobless na wenye maisha yasiyoeleweka..badilikeni basi taifa lisonge..chuki za nini????????
Una shida kubwa sana kijana,mno!
 
Sitaki kujua elimu yako maana naamini huu ugonjwa wako tu leo acha nijibu maana hua napita tu nikiona uzi wako..ivi hao waliokuja wamekuambia ni members wa JF au ndio wanaomtukana uyo boss wako unapata picha gn wakiona umewananga umu ndani tena inawezekana kesho wakawa wafanyakazi wenzio..,duh mi shabiki mkubwa wa Platnum ila sijui ww alikuajiri kwa vigezo gn hasa kumbuka Diamond anaenda Kimataifa inabidi ubadilike km yy watu wenye hekima zao wanapita umu JF watashangaa kuona ana timu mbovu kisa ww tu aaaaarrrgh unakera.
 
Heaven on desert haters unawatengeneza mwenyewe aliyekuambia humu jf watu hawana kazi ya kufanya ni nani dogo just go back to school
 
Back
Top Bottom