Picha: Irene Uwoya, The undisputed [emoji91]

Picha: Irene Uwoya, The undisputed [emoji91]

Hawa mademu waone tu hivi... Wana njaa hatari sana... Nimetoka zangu darful mwaka 2012,tukaenda zetu 777 kula bata kidogo... Msela mmoja kaenda kumla Aunt Ezekiel kwa USD 200 tu...

Wakati hua Aunt analiwa na Lazaro
mnafanya kazi kwa shida mnakoswa risasi mkirudi hela zote mnatom*** wanajeshi mna akili kichwani kweli
 
mnafanya kazi kwa shida mnakoswa risasi mkirudi hela zote mnatom*** wanajeshi mna akili kichwani kweli
Kaka.. Ukipata 500... Save 200, halafu 100 maendeleo,100 matumizi ya home.. Na hiyo 100 tumia bila hesabu...maisha mafupi haya... Shauri yako....

Hakuna mtu anayeenda nyoshea goti pesa zote... Labda tu kama hana akili
 
sawa mjeda
 
ingekuwa izizilee mererani yetu 1995 hadi 2015 asee watoto hawa wa bongo muvi wangekuwepo tungewala sanaaa.
 
Bongo mastaa wengi wanasemekana wana pesa lkn cha ajabu wanaishi nyumba za kupanga, sasa hizo pesa ina maana hazitoshi kununua nyumba? Huyo Uwoya yeye na dogo Janja walikua wanaishi kwenye apartments za kupanga huko makongo, walikua compound moja na marehem Masogange lkn wakiwa mitandaoni tunaaminishwa wana pesa, kama wanashindwa ku-afford angalau million 300 kununua nyumba basi hao sio matajiri wanazuga tu
 
Back
Top Bottom