Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Sidhani kama kuna watoto wa Meng wanamzid Mengi mwenyewe umri ila, wapo watoto wa Mengi wanamzidi Jack umri pakubwa tu ,hao ndo watashikana nae vilivo
Huyu bidada hapa kwa wamacahme hatachomoka salama kabisa .Ataambiwa alete mpka ATM card ya mzee. Tusubiri mda ni hakimu mzuri sana.
Akiulizwa kwanini alitaka Mzee aende dubai na familia kutoka Zanzibar kisa watoto hawajaridhika huku anaona hali ya Mzee sio nzuri atajibu nini?
 

Shida sio kazikuta
Shida ni kuwa ukiwa mtu mwenye familia akifa mali zinabaki za familia
Sa familia ya mengi ni nani sahv, japo wayoto wa nje wa Meng nao wana haki
 
Haya mambo huwa yana mkanganyiko mkubwa sana.

Ukiyaangalia kwa juu juu utaweza kuyaona kama ni mambo rahisi kwamba, kwakuwa alimuoa na akamwandikia urithi basi atapata kila kitu....

Ila kwa upande mwingine sio kweli
 
Kwanza Inawezekana kabla Mzee Mengi hajaletwa Tanzania nyumbani lazima watakuwa wameenda kuangalia kila Documents za Mzee . Lazima watakuwa wameshachambua mafaili yote. Uko Dubai alikoenda huku nyuma lazima nyumba itakuwa ilishachambuliwa na kuchukua documents zote. Kwa wachaga sio kirahisi Kylin atakuwa na Hali ngumu
 
Hili swala limenifanya nifikiri sana mkuu.

Na ni wasiwasi wa kwanza ambao utakuwa umewapata watoto
 

Exactly itakuwa nyumba ilikikaguliwa sana tu .

Labda ukute mwanamke alifunga chumba chake na Mzee

Huyu dada yupo katika wakti mgumu sana kwa sababu macho ya wengi hajafuraishwa na jinsi Mzee alivofia mikonon mwake .

Atapata wakati mgumu mbele ya familia ya akina Mengi sababu wanamuona alikuja kutumia tu vya Mzee na si kutafuta.


Jack itabid aeleze familia mambo mengi sana ,na pia akitaka mgawo mkubwa atatakiwa hata na mahakama aelezee vitu alivochuma na Mzee ,Na isitoshe mzee ni public figure. Na mali zake zinajulikana sana tu.
 
Mali walizochuma pamoja baada ya ndoa ndo Jack atapata mgawo sasa sijui zipo?
Kwa sheria ipi mkuu?

Jacky hata tumchukie lakini ndio mke halali wa mzee Mengi, kwa bahati mbaya wakristo hua na mke mmoja tu wa ndoa, kumbuka yule wa kwanza waliachana kwa taraka, hivyo si mke wake tena

Kitakachotokea hapo, Jacky atapata chake na watoto wa jacky watapata chao, haijalishi walivitolea jasho au lah na mwisho wa siku mali wanayopewa watoto itasimamiwa na Jacky

Tutake tusitake.
 
Mambo ni magumu Kwa jackylin. Hata kama mlango umefungwa si unavunjwa tuu. Unacheza na pesa ya Mzee Mengi ilivyo nyingi. Mlango utakuwa ulishavunjwa na kuweka mwingine. Japo wengine wanasema alifilisika wakati mpaka mwaka Jana desemba ilioonyesha Mengi ana networth ya Us560million
 
Kama haya yanayosemwa yana ukweli na Mengi kaacha will inayompa Jackie percentage kubwa kuliko watoto wakubwa basi lawyers wajiandae kuvuna mpunga mrefu maana naona kuna kesi kubwa inakuja muda si mrefu ujao.
Na kama kweli mzee kaacha hivyo mi nitasikitika sana watoto wake wakubwa wamepigika nae weee toka wakiwa wadogo wamekula maharage ila baba yao afungue makampuni mwisho was siku hata percent wanayopata iwe ndogo kuliko mwanamke aliyekutana nae uzee akiwa kashachuma vya kutosha aisee mzee atakuwa kawaumiza sana wanae

Sawa Kylin anaweza pewa vipasenti kidogo na wanae wapewe percent kubwa kuliko mama yao ila wale akina Regina na Abdi wapewe kubwa kuliko maana wamefight since the beginning na baba na mama yao na pia ndio engine zilizobakia kuendesha makampuni ya baba yao .

Kama Klyin ata demand percent kubwa zaidi nitamshangaa sana hata kujistukia atakuwa ameshindwa sitomwolewa yeye kama yeye alipaswa ajenge future yake wakati mzee akiwa hai

Na hapo apiginie tu percentage ya wanae ambayo naamimi watoto wakubwa hawawezi kubwa ditch wadogo zao naamini they will take care of their little brothers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…