Hata kama aliandika,prosecution wanawezatoa uhakiki mahakamani kua mzee aliandika akiwa mgonjwa..
Wakichukua medical records nk wanaweza prove hiyo kitu kirahisi sana....
Nasikia mzee alikua na dementia...na kumbuka wale wana madaktari wa familia medical records zote zipo....
Kama alikua diagnosed na dementia halafu ndio will ikaandikwa from the date of diagnosis onwards,mzee mzigo mzima unakua void!
Will ikiwa void,mzigo mzima unaletwa mezaniiii upyaa!
Plus na hiyo ndoa iliyofanyiwa huko sijui Cape Verde or wherever the fvck,jurisdiction haita-apply hapa uswazi!
Ngoma ni ndefu,washabiki wa KLyn wasidhani ni slum dunk tu!
Plus KLyn sidhani kama ana miakili very smart kivile namna hiyo labda kuna mahali alisahau kuset vizuri.....
Kuna mahali patakua na loophole alisahau prosecution watapita hapo hapo kama radi vile!