Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Kwa hiyo 'kumchosha' mgonjwa ni sababu tosha ya kum-rule out kwenye urithi? Kwamba ulimchosha Mzee akafariki kwa hiyo potea tusikuone hapa!! Hahaa Wabongo mna mambo kweli
 
Ila talaka ile haikufurahisha ndugu wa Mengi na watoto wake wakubwa. Na. kwa bahati mbaya hawakumpenda Jack kabisa.

Kama umeangalia vizuri hata kwenye msiba watu wanakuwa wako support watoto wa Mengi na si Jack ambaye alikuwa mkavu kama dagaa wa Kigoma.
 
Kwa hiyo 'kumchosha' mgonjwa ni sababu tosha ya kum-rule out kwenye urithi? Kwamba ulimchosha Mzee akafariki kwa hiyo potea tusikuone hapa!! Hahaa Wabongo mna mambo kweli
Sijamaanisha mambo ya will wala SITAKI kuyazungumzia maana hayanihusu kabisa. Ila najua atapata kile anachostahili. Iwe kwa kuandikiwa au kugawana. Familia ina mwanasheria wa siku nyingi Adv Ngalo atawasaidia.
 
Hahaha, kwamba mkavu kama dagaa wa kigoma!

Yetu macho, tusubiri.
 
Sahihi kabisa. Jack kwa ushauri atulie kabisa asitoe makubwa ya kufunguliana makesi. Watoto wa Mengi wakubwa wana BUSARA na hawawezi kutowapa wadogo zao mali. Ninachojua tu mali za watoto wadogo Wamachame wataamua zisimamiwe na watoto wakubwa wa marehemu au atakayeteuliwa. Wana akili sana na mali. Hivyo Jack atapewa chake kama yeye au will itakavyosema.
 
Wamachame kwenye mali zao hawachezewi kabisa. Mdogo wa marehemu yule Benjamin na watoto wakubwa wa marehemu wako imara sana.
Nadhani shida siyo mali hapa. Anzeni kuomba toba kwa kila aliyewahi kuchepuka maana mnamhukumu mke wa mtu bila kuthibitisha. Kwani kuna kapicha ka kuchepuka na huyo white? Mbona picha zote ni kama za mzee G. alizopiga miaka 10 na familia?
 
Mengi aliuguzwa na mercy mkewe wa Zamani Baada ya stroke.huyu jack alikuwa mlevi tuuu.mengi alichanganyikiwa mkewe alivyokufa.jack hakualikwa ,
Asante kwa taarifa nzuri sana Mkuu. Ukweli sikumuona msiba ni DSM au Machame. Kuoa mabinti wa Casino na professional prostitute ni kazi kubwa mno. Huwezi kukimbizana na mishemishe zao.
 
Nimekipata vyema sasa Mkuu .Asante kwa ufafanuzi .

Mara nyingi Mke wa kwanza wa mwanaume anakuwaga na uchungu na mumewe ukizingatia kama wametoka mbali,,sio hawa wa make up box na kingereza cha so so
Sure Mkuu. Mke wa ujana wako wakati ukiwa huna kitu ndiyo mke. Hao wengine baada ya kupata pesa ni chumia tumbo tu.
 
Tena ikamtenga na kanisa kabisa. So umeons DSM Kidini limekuwa jjjjjjjjii? Kule Moshi sijajua. Mkewe Mercy Anna Mengi alipata heshima za Kidini maana hakuwa amejitenga na dini na alikuwa anatumikia dini yake na alipewa heshima ya kuzikwa Kidini pia. Sasa wa Mzee nje ya reli.
 
Kwani hana wajukuu Mzee
 

You are very very right and very good observer!

Nilikuja stuka yule dada ni cold blooded and shady as fvck hapa mwishoni mwishoni....

Alimchezesha mzee maigizo ya aibu sana mpaka nikawa najiuliza why all this kujionesha kipindi hiki kwa nguvu zote hivi?

Nikajua huyu dada sio mtu mwema kabisa!
 
Shida Ipo...! Shidaa Iiipooo
 
Kwa hiyo 'kumchosha' mgonjwa ni sababu tosha ya kum-rule out kwenye urithi? Kwamba ulimchosha Mzee akafariki kwa hiyo potea tusikuone hapa!! Hahaa Wabongo mna mambo kweli
Sasa wewe unatakaje

MTU anajua kabisa mgonjwa yuko hoi hawezi kustahimili safari ndefu ndefu kwa nguvu alizonazo ,halafu yeye anampigisha route ndeefuuu kutoka dar to Zanzibar hadi Dubai maksudi tu .

Kama sio ulikuwa mpango wake wa kumchosha na kumuua mzee na masafari ni nini itakuwa ?
 

Naomba ufute kauli yako kwa sababu msiba wa mzee umefikia katika nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake na mke wake jack, lete theory nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…