Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Swali ni hilo moja tu ataulizwa ni kwa nini alikuwa anamchosha magonjwa? Wakati akijua kabisa magonjwa alikuwa hana uwezo mkubwa sana wa kimaamuzi na kumbukumbu. Alishadhoofika mno kiasi kwamba hata kutembea ilikuwa ni shida. Yet unampandisha ndege safari ndefu to Dubai bila hata family Dr kuambatana na mgonjwa. Aibu kubwa sana.

Wamachame walivyolia leo wakipokea msiba ni lazima walipize kisasi. Wachaga wa pande za Machame si wa kuchezea kabisa. Kwao Mengi alikuwa ni icon.
Kwa hiyo 'kumchosha' mgonjwa ni sababu tosha ya kum-rule out kwenye urithi? Kwamba ulimchosha Mzee akafariki kwa hiyo potea tusikuone hapa!! Hahaa Wabongo mna mambo kweli
 
Kwa sheria ipi mkuu?

Jacky hata tumchukie lakini ndio mke halali wa mzee Mengi, kwa bahati mbaya wakristo hua na mke mmoja tu wa ndoa, kumbuka yule wa kwanza waliachana kwa taraka, hivyo si mke wake tena

Kitakachotokea hapo, Jacky atapata chake na watoto wa jacky watapata chao, haijalishi walivitolea jasho au lah na mwisho wa siku mali wanayopewa watoto itasimamiwa na Jacky

Tutake tusitake.
Ila talaka ile haikufurahisha ndugu wa Mengi na watoto wake wakubwa. Na. kwa bahati mbaya hawakumpenda Jack kabisa.

Kama umeangalia vizuri hata kwenye msiba watu wanakuwa wako support watoto wa Mengi na si Jack ambaye alikuwa mkavu kama dagaa wa Kigoma.
 
Kwa hiyo 'kumchosha' mgonjwa ni sababu tosha ya kum-rule out kwenye urithi? Kwamba ulimchosha Mzee akafariki kwa hiyo potea tusikuone hapa!! Hahaa Wabongo mna mambo kweli
Sijamaanisha mambo ya will wala SITAKI kuyazungumzia maana hayanihusu kabisa. Ila najua atapata kile anachostahili. Iwe kwa kuandikiwa au kugawana. Familia ina mwanasheria wa siku nyingi Adv Ngalo atawasaidia.
 
Ila talaka ile haikufurahisha ndugu wa Mengi na watoto wake wakubwa. Na. kwa bahati mbaya hawakumpenda Jack kabisa.

Kama umeangalia vizuri hata kwenye msiba watu wanakuwa wako support watoto wa Mengi na si Jack ambaye alikuwa mkavu kama dagaa wa Kigoma.
Hahaha, kwamba mkavu kama dagaa wa kigoma!

Yetu macho, tusubiri.
 
Ndio ,,kikubwa asilete za kuleta akae asubirie maamuzi ya familia hasa watoto wa mke mkubwa sababu yeye amedandia gari kwa mbele..

Hata kama mzee atakuwa aliandika wosia ,sio rahis utekelezwe maana huenda huyu bidada alimshawishi Mzee amuandike na watapelekana mahakamani ,bidada akileta za kuleta.

Bidada hawez achwa hivo maana ana watoto wadogo sana .Kikubwa asikilize maamuz ya familia ila ujuaji unaweza kumkosesha
Sahihi kabisa. Jack kwa ushauri atulie kabisa asitoe makubwa ya kufunguliana makesi. Watoto wa Mengi wakubwa wana BUSARA na hawawezi kutowapa wadogo zao mali. Ninachojua tu mali za watoto wadogo Wamachame wataamua zisimamiwe na watoto wakubwa wa marehemu au atakayeteuliwa. Wana akili sana na mali. Hivyo Jack atapewa chake kama yeye au will itakavyosema.
 
Wamachame kwenye mali zao hawachezewi kabisa. Mdogo wa marehemu yule Benjamin na watoto wakubwa wa marehemu wako imara sana.
Nadhani shida siyo mali hapa. Anzeni kuomba toba kwa kila aliyewahi kuchepuka maana mnamhukumu mke wa mtu bila kuthibitisha. Kwani kuna kapicha ka kuchepuka na huyo white? Mbona picha zote ni kama za mzee G. alizopiga miaka 10 na familia?
 
Mengi aliuguzwa na mercy mkewe wa Zamani Baada ya stroke.huyu jack alikuwa mlevi tuuu.mengi alichanganyikiwa mkewe alivyokufa.jack hakualikwa ,
Asante kwa taarifa nzuri sana Mkuu. Ukweli sikumuona msiba ni DSM au Machame. Kuoa mabinti wa Casino na professional prostitute ni kazi kubwa mno. Huwezi kukimbizana na mishemishe zao.
 
Nimekipata vyema sasa Mkuu .Asante kwa ufafanuzi .

Mara nyingi Mke wa kwanza wa mwanaume anakuwaga na uchungu na mumewe ukizingatia kama wametoka mbali,,sio hawa wa make up box na kingereza cha so so
Sure Mkuu. Mke wa ujana wako wakati ukiwa huna kitu ndiyo mke. Hao wengine baada ya kupata pesa ni chumia tumbo tu.
 
Mzee alikosea sana ....alishindwa kuhimili tamaa za kichwa chake cha chini hat I'm a eat ameacha doa kubwa sana katika family yake .... mtu aliye pambana miaka nenda rudi kwaajili ya kujilimbikizia ukwasi wa kutosha na heshima katika jamii licha ya elimu na IQ kubwa aliyonayo Mwisho wa siku akaenda kujiingiza kwenye mambo ya kipuuzi kabisa ambayo yalistahiki kufanywa na mwana bongo flavor ....leo hii athari yake inatak kuwa maliza watu
Tena ikamtenga na kanisa kabisa. So umeons DSM Kidini limekuwa jjjjjjjjii? Kule Moshi sijajua. Mkewe Mercy Anna Mengi alipata heshima za Kidini maana hakuwa amejitenga na dini na alikuwa anatumikia dini yake na alipewa heshima ya kuzikwa Kidini pia. Sasa wa Mzee nje ya reli.
 
So sad. Mpaka hata watoto wameamua kuishi bila maisha ya familia. Leo hii tungeona jeneza la mengi limezungukwa na wajukuu lakini hakuna. Na mke wake alikuwa anampenda sana mume wake na walikuwa off cameras maisha yao yote. Mimi kuja kujua kuwa walitengana na kutalikiana was so closed to the public. Walibaki business partner tena good one maana mama alikuwa mtu wa kazi tu na si wa media.

Bidada alibadilisha direction ya Mzee drastically akichukulia Ile ugonjwa wake wa kutojitambua I.e dementia kumdhalilisha mitandaoni na kumhenyesha na maisha ya ujana wakati ulikuwa ukimwangalia alikuwa wamechoka na dhati kimwili. Alikuwa hawezi kushuka au kupanda ngazi bila msaada. Mzee marehemu Mengi wa so a private life man. It is o shock.
Kwani hana wajukuu Mzee
 
You are very very right and very good observer!

Nilikuja stuka yule dada ni cold blooded and shady as fvck hapa mwishoni mwishoni....

Alimchezesha mzee maigizo ya aibu sana mpaka nikawa najiuliza why all this kujionesha kipindi hiki kwa nguvu zote hivi?

Nikajua huyu dada sio mtu mwema kabisa!
 
Kaumia kuliko mke halisi. Ni hatari kubwa. Maana Jack yuko kawaida mno. Nilitegemea kwa zile picha na mavideo ya kutudanganya basi muda huu angekuwa ICU kwa mshtuko au angekuwa anabebwa. Nimefurahi pia sijaona hata ndugu wa maana wa Mengi akimshikilia.
Shida Ipo...! Shidaa Iiipooo
 
Kwa hiyo 'kumchosha' mgonjwa ni sababu tosha ya kum-rule out kwenye urithi? Kwamba ulimchosha Mzee akafariki kwa hiyo potea tusikuone hapa!! Hahaa Wabongo mna mambo kweli
Sasa wewe unatakaje

MTU anajua kabisa mgonjwa yuko hoi hawezi kustahimili safari ndefu ndefu kwa nguvu alizonazo ,halafu yeye anampigisha route ndeefuuu kutoka dar to Zanzibar hadi Dubai maksudi tu .

Kama sio ulikuwa mpango wake wa kumchosha na kumuua mzee na masafari ni nini itakuwa ?
 
Watu mnaongea vitu msivyovijua..

Jack alishapewa chake mapema, IPP pale hana chochote chake. Na wala hawezi kudai chochote. Eti kapewa 50%, nani kawadanganya? Mange??

Jack alishaandaliwa maisha yake na Mzee, kule Machame kamjengea nyumba ya Ghorofa 2 Kijiji cha Foo, na hiyo nyumba ndio urithi wa watoto wake mapacha.

Msiba wa Mzee haujaenda na wala hautafika kwenye nyumba aliyomjengea Jack kule Foo Machame, msiba utalala na kufanyika kwenye boma la familia. Hilo pekee liwafaamishe nafasi ya Jack kwenye familia na biashara..

Jack angekuwa na matatizo na familia kama mnavyoaminishana huku mitandaoni yeye pamoja na dadake wasingeruhusiwa hata kubeba shada na dadake kukaa nae on front seats pale Karimjee.

Naomba ufute kauli yako kwa sababu msiba wa mzee umefikia katika nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake na mke wake jack, lete theory nyingine
 
Back
Top Bottom